gemmanuel265
JF-Expert Member
- Feb 16, 2016
- 8,485
- 18,053
Na sababu za kwenda UDP hazina mashiko kbs hata mwendawazimu hawezi kukubaliana nazo
Nguvu ya nini unayosema weweTafakari kabla ya kutoa hoja,huyo aliyehama chama ana nguvu gani? Chadema,mbona alivyohama Ccm haukusema!
Jidulamabambasi (R.I.P)jidulamabasi
Na bila Kikwete Mbatia alishasahaulika,hata kwa Mdee alikuwa hafui dafu,amshukuru sana Kikwete kwa kumuokota juani na kumleta kivulini,lakini matokeo yake kasahau yote,hizo ndio shukrani .Umesahau kuwa hata James Mbatia alipewa ubunge na Kikwete
Jibu maswali hapo juu, acha Porojo, CHADEMA ni taasisi huwezi kuifananisha na UDP au TLP. Nakubali CHADEMA kama taasisi ina changamoto zake ambazo hazikwepeki na chama kinazifanyia kazi ili kuondokana nazo.
MEDEYE ameenda huko UDP kwa kuwa anafahamu atapata cheo cha bwerere na ushindani sio mkali, lakini unapaswa kujua UDP sio chama bora ni bora chama!
Haaa Pasco unaandika to kwa wapiOle Medeye ni mtu mwenye vision, anajua kuona mbali!, hata mkisikia kiongozi yoyote anajiunga na TLP wakati huu, ujue ni mtu mwenye vision, anajua kuona mbele!.
Pasco
Ccm wanagawa Wali mbichi kwa maharaja na kuwasomba kwenye makalandinga mbona sie hatusemiWaliomfuata Mgawa Pesa Lowasa wanazidi kukimbia.
Huyu kaona aibu kuomba arejee CCM..
DUNI HAJJI alisema CHADEMA hakuna Demokrasia, kila ****** ana ndevu kama familia ya Kambare......OLE MEDEYE nae anasma yale yale....HAKUNA DEMOKRASIA Chadema. ......sasa jiulize, wao wanaposema MAGUFULI na CCM wanaminya Demokrasia wanamaanisha nini? Mbona wao wanamimyana huko Ufipa???
Wewe unaeendelea kubaki huko na kujidai unamjua saaana Lowasa kuliko Ole Medeye endelea tu, Lowasa mwenyewe anachora ramani ya njia ya kutokea....wewe ****** unasubiri nini???
Huko ni kwa wakala wa ccm kaenda kwa huyo Mzee cheyo anayeishi kwa pumzi ya ccm chama hakina uwakilishi bungeni kinawezaje kuwa na mwelekeo zaidi ya kuwa wapambe wa ccm.Ana haki ya kuwa chama akipendacho!!!! Mwambie
Tumesikia
Asirudi tena chadema ccm wala kokote, abaki hukohuko
Pesa ipi anagawa? Mwenzako aliyetengeneza huo uzushi wa kugawa pesa na propaganda zote juu ya Lowasa alilipwa pesa nyingi na Membe, sasa wewe Umekariri unaendeleza ili mwenye hilo Dili ajidai anafanya kazi alipwe, hicho kize ole medeye kitakuwa kimegeuzwa Dili, yaani Cheyo kavuta pesa ccm kisha kapiga panga kamgawia kidogo ili wawahadae Watanzania tu, lakini hakuna kilipchopungua chadema kutokana na huyo Babu Ole kutokuwa na bidii yeyote ya kujisaidia chama zaidi ya kupenda majungu sana.Waliomfuata Mgawa Pesa Lowasa wanazidi kukimbia.
Huyu kaona aibu kuomba arejee CCM..
DUNI HAJJI alisema CHADEMA hakuna Demokrasia, kila ****** ana ndevu kama familia ya Kambare......OLE MEDEYE nae anasma yale yale....HAKUNA DEMOKRASIA Chadema. ......sasa jiulize, wao wanaposema MAGUFULI na CCM wanaminya Demokrasia wanamaanisha nini? Mbona wao wanamimyana huko Ufipa???
Wewe unaeendelea kubaki huko na kujidai unamjua saaana Lowasa kuliko Ole Medeye endelea tu, Lowasa mwenyewe anachora ramani ya njia ya kutokea....wewe ****** unasubiri nini???
Kuona mbali? Kaona nini mbali? Yaani cheo kupiga Udalali wa siasa kupitia kwake ndiyo kaona mbali? Hichoo kibabu Ole medeye kiona kivuli chake tu na siku akishituka kuwa Mzee Cheyo kamgeuza Dili atahamia cck vyama vya mifukoni visivyo na ofisi.Ole Medeye ni mtu mwenye vision, anajua kuona mbali!, hata mkisikia kiongozi yoyote anajiunga na TLP wakati huu, ujue ni mtu mwenye vision, anajua kuona mbele!.
Pasco
Huko kaenda kusota njaa hakuna ridhiki bali kuna dhidi kubwa sana, Mzee cheyo hana kitu Njaa imemzunguka sana sana watamgeuza buzi la kukuliea chama atamaliza kiinua mgongo chake kisha cheyo atamfukuza.Mwache akatafute ridhiki mbele ya safari