jerry honde
Member
- May 27, 2016
- 63
- 66
mbona bango la nyuma ni la 2011..?!!..mtoa post kua makini
Soma Disclaimermbona bango la nyuma ni la 2011..?!!..mtoa post kua makini
Maana yangu ni kwamba,ananyoosha maneno na anakua mwenye msimamo pale anapokua yuko fiti kiakili,sasa baada ya ccm kumchanganya kwa maamuzi yao ya kumkata jina lake ilihali yeye alishakua na uhakika wa kuwa raisi ajaye (na kweli laiti angepitishwa angekua raisi wala halina ubishi ni chizi tu ndo anaweza bisha)ukizingatia alishafanya uwekezaji mkubwa katika hilo ni rahisi kwa mtu yeyote kufanya maamuzi ambayo hukutarajia kama alivyofanya,maana yake kachanganyikiwa (temporary insane)kwani hata uwe mwenye msimamo vipi katikahali kama hiyo kuchanganyikwa ni lazima na misimamo inayumba tu kama ilivyomtokea mzee wako.Hata hapa umejichanganya sana, hebu rudia kusoma. Pole!
Duu.... Nmekudharau sana...Kila la kheri kwake mwisho arudi ccm yeye ni pandikizi tu!
Haina athari yoyote. Ni maamuzi ya kidomokrasia
Kada wa CHADEMA na mbunge wa zamani wa Arumeru Magharibi, Goodluck Ole Medeye leo ametangaza kuhamia UDP.
Asema inasimamia haki na demokrasia. Anasema anataka demokrasia ya kweli na jukwaa la haki ktk kuleta haki na maendeleo kwa Watanzania.
Ameyasema haya akiongea na waandishi wa habari muda mfupi uliopita.
DISCLAIMER: Bango linaloonekana nyuma yake halina uhusiano na habari, lipo ofisi za UDP
Unafaa sana kuandikia gazeti la udaku.nasikia mke wake regina anamshinikiza mzee arudi ccm...toka amehamia chadema maisha yao yanawaendea vibaya mpaka kwe wake yupo magereza mpaka leo
Ni haki yake kwenda chama kingine, hakuwa na haja ya kubumba sababuJuz ukawa walikua na maandamano walioyaita "Linda demokrasia" leo nashangaa katika Hivyo vyama Kuna mwanachama amehama sababu, anataka demokrasia ya kweli "nawaza kwa sauti je Hivyo vyama havina demokrasia ya kweli
Bk 7Mke wake alimpinga sana Lowassa kuhamia CHADEMA lakini kama unavyofahamu, Wanamme wa Kimeru au Kimasai hawana ujasiri wa kusikiliza na kukubali maamuzi ya wanawake tofauti na walivyoamua.
Vielelezo pleaseHuu ni mpango mahususi wa kuuwa vyama vya siasa ambavyo havikuunga ukawa,kunatetesi ni mpango kabambe unaoandaliwa kwa ustadi mkubwa,tutajionea mengi na yote yanaathiri moja kwa moja 2020.