Good news wana JF: Pata viwanja vilivyopimwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Good news wana JF: Pata viwanja vilivyopimwa

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Ipi dot com, Jan 7, 2012.

 1. Ipi dot com

  Ipi dot com JF-Expert Member

  #1
  Jan 7, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 267
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Kwa ndugu zangu wana jf wote kwa wenye nia ya kujenga, Pata viwanja vilivyo pimwa maeneo ya Mwanagati square meter 500 kwa tsh 14m,square meter 1500 tsh 25m kuna maji na umeme vipo viwanja 8 tu Pia square meter614 tsh 15m umeme na maji vipo HAYA KAZI KWENU!
  wasiliana kwa 0763 150 550, 0769 416 384 au 0612 42 66 33
   
 2. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #2
  Jan 7, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  thanks kwa taarifa
  mwanangati ni mkoa gani?
  bei hiyo ya serikali au ni mtu binafsi alieuziwa?
   
 3. SaidAlly

  SaidAlly JF-Expert Member

  #3
  Jan 7, 2012
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 1,806
  Likes Received: 648
  Trophy Points: 280
  Huko mwanangati ndiko walikohama waanga wa mafuriko.
   
 4. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #4
  Jan 7, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Tunashukuru kwa taarifa Kamanda wetu!
   
 5. M

  Masuke JF-Expert Member

  #5
  Jan 7, 2012
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 4,606
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Du mkuu hizo milioni siku hizi naona hazina tofauti na mamia, sq meter 500 milion 14, mtu mwenye kipato cha laki mbili kwa mwezi na anajitahidi kusave laki moja na nusu itamchukua takribani miaka minane kununua hako kakijipande kaardhi, jamani kuweni na huruma thamani ya ardhi haijapanda kiasi hicho.
   
 6. Mkondakaiye

  Mkondakaiye JF-Expert Member

  #6
  Jan 7, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 839
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hiyo 14m ni kwa wale walioko kwenye payrol ya Lowasa tu? kwani sioni uwezekano wa wana jf walionakima chini watakamudu
   
 7. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #7
  Jan 7, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,581
  Likes Received: 848
  Trophy Points: 280
  it was suppose to be 'Bad news instead of Good nws'
   
 8. m

  mhondo JF-Expert Member

  #8
  Jan 7, 2012
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Never give up.
   
 9. Ipi dot com

  Ipi dot com JF-Expert Member

  #9
  Jan 7, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 267
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  mwanagati ipo km 6 toka Banana na hiyo bei ni mtu binafsi pia ukitaka vilivyopimwa ni bei ndogo zaidi
   
 10. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #10
  Jan 7, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,675
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Ipi.com mbona umetokomea kizani fasta hivi?
  Rudi ujibu maswali ya wanajamii. Unaulizwa, hili eneo liko wapi na hizo bei zake ni za serikali au eneo la mtu ameamua kuuza.
  Hii kazi ya udalali huenda ikawa ngumu kwako boss.
   
 11. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #11
  Jan 7, 2012
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,159
  Trophy Points: 280
  Umeulizwa mkoa gani?
   
 12. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #12
  Jan 7, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  hiyo bei ni ya kiuendawazimu hata kama kiwanja kimepimwa...square meter 500 maana yake kiwanja kina urefu wa meter 20 x 25.
  Kwa size hii unaweza kukosa hata sehemu ya shimo la maji taka....ni kidogo sana kwa hiyo bei.
   
 13. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #13
  Jan 7, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  unazidi kutuchanganyia habari.......huko Banana ndio mkoa gani.......?
   
 14. Keren_Happuch

  Keren_Happuch JF-Expert Member

  #14
  Jan 7, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 1,880
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Hivi jamani kwa mshahara wa Mtz, nitasave miaka mingapi ili niweze kupata 14m za kununua kiwanja square meter 500????!!!! Duuu!!! kazi tunayo, ufisadi kwenda mbele!!!
   
 15. Ipi dot com

  Ipi dot com JF-Expert Member

  #15
  Jan 7, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 267
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  ipo dar
   
 16. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #16
  Jan 7, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,261
  Trophy Points: 280
  Ulizia jamhuri gani. Angalia ramani ya dunia, tafuta Banana Republic
   
 17. Ipi dot com

  Ipi dot com JF-Expert Member

  #17
  Jan 7, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 267
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  ipo dar
   
 18. Ipi dot com

  Ipi dot com JF-Expert Member

  #18
  Jan 7, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 267
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  nipo hewani mkuu
   
 19. Ipi dot com

  Ipi dot com JF-Expert Member

  #19
  Jan 7, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 267
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Mkuu vipo visivyopimwa kwa tsh 3m
   
 20. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #20
  Jan 7, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,360
  Likes Received: 2,989
  Trophy Points: 280
  kekunduuuu kekunduuu!!kekunduuu x 2
   
Loading...