na tajenga baada ya miaka 16..................good news nikajua mishahara imepanda kwa wafanyakazi wa ummaDu mkuu hizo milioni siku hizi naona hazina tofauti na mamia, sq meter 500 milion 14, mtu mwenye kipato cha laki mbili kwa mwezi na anajitahidi kusave laki moja na nusu itamchukua takribani miaka minane kununua hako kakijipande kaardhi, jamani kuweni na huruma thamani ya ardhi haijapanda kiasi hicho.
Mkuu vipo visivyopimwa kwa tsh 3m
ipo dar
Crazy Biashara huria.. Sq 500 14 m? bora nisepe mkoa... asante kwa taarifa mkulu..Kwa ndugu zangu wana jf wote kwa wenye nia ya kujenga, Pata viwanja vilivyo pimwa maeneo ya Mwanagati square meter 500 kwa tsh 14m,square meter 1500 tsh 25m kuna maji na umeme vipo viwanja 8 tu Pia square meter614 tsh 15m umeme na maji vipo HAYA KAZI KWENU!
wasiliana kwa 0763 150 550, 0769 416 384 au 0612 42 66 33
Du mkuu hizo milioni siku hizi naona hazina tofauti na mamia, sq meter 500 milion 14, mtu mwenye kipato cha laki mbili kwa mwezi na anajitahidi kusave laki moja na nusu itamchukua takribani miaka minane kununua hako kakijipande kaardhi, jamani kuweni na huruma thamani ya ardhi haijapanda kiasi hicho.