Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,030
- 59,684
- Thread starter
-
- #61
hapo kweney red..ngoja kwanza tutoke kwenye mada ...huyo mdada yupo JF ..kama hayupo mwambie ajiunge na ani pm ..mwambie SI ni mcheshi na hana noma ..na mwambie thanks kwa kusifia avatara ya SIhongera mtakatifu! halafu juzi nilikuwa sehemu (internet cafe) kuna dada mmoja alikuwa asifia avatar yako!
hahah NN naona unanitafutia bifu na watu humu ndani ..ila kiukweli hayo majian yamemkaa utafikiri ni ya kwake.Anaitwa Mwajuma Husninyo Kandambili
mahali sh ngapi nikuoe nyani ngabu.
heheeh Rais bana!Anaitwa Mwajuma Husninyo Kandambili
hahha asa a GT nishajua maana ya kukwarua ... mimi sitaki kukwarua mtu na kuondoka zangu na si ndio maana nimeiweka puplic kwani mda si mrefu mipango na maandalizi yataanza .....hahhaha ...mkuu kwa hiyo ushakwarua wana JF wangapi?SI nakutakia kila la kheri lakini nilikuwa na doubt kuhusu JF kutoa ndoa zaidi ya 100+ ikabidi niulize ukimkwarua mwanaJF mwenzako utakuwa umefunga ndoa? Usiniulize kukwarua ni nini? Tehe tehe tehe tehe tehe.
bado kakwani yako ni tar ngapi maana hapa katikati naweza kuwa nimetembelewa si unajua tena
Mkuu ungetaja jina la bihalusi. Tusje tukaingiliana kwenye makoloni.
Kama yuko katika koloni langu, jibaba jiandae na BAN.
hapo kweney red..ngoja kwanza tutoke kwenye mada ...huyo mdada yupo JF ..kama hayupo mwambie ajiunge na ani pm ..mwambie SI ni mcheshi na hana noma ..na mwambie thanks kwa kusifia avatara ya SI
Unioe au nikuoe?
hahah NN naona unanitafutia bifu na watu humu ndani ..ila kiukweli hayo majian yamemkaa utafikiri ni ya kwake.
au nasubiri kwanza ya kwako?bado ka
bisa na tunaweza kuiahirisha kwa sababu yako hadi urudi
Mimi ni zaidi ya PAW, kazi yangu ni kuedit na ku updeti sheria za JF kila wikiendi.kwani una undugu na PAW? hahhah tuambizane
hapo kweney red..ngoja kwanza tutoke kwenye mada ...huyo mdada yupo JF ..kama hayupo mwambie ajiunge na ani pm ..mwambie SI ni mcheshi na hana noma ..na mwambie thanks kwa kusifia avatara ya SI
heheeh Rais bana!
weka beats basi verse inoge
nikuoe, kiswahili kigumu. kama vipi translate kwa kiinglish
Oh you want to marry me.
Anytime baby Husninyo. You will be Husninyo Ngabu. Yeessssssssss
Sio upambe nuksi, tunaweka katiba wazi!khaaaa wapambe nuksi tena?
nikikuoa utakuwa ni ngabu husninyo. smile basiii.
Hakuna hata mmoja, yaani wagumu kama visiki. Kuna kipini najiona labda sina bahati vile tehe tehe tehe.hahha asa a GT nishajua maana ya kukwarua ... mimi sitaki kukwarua mtu na kuondoka zangu na si ndio maana nimeiweka puplic kwani mda si mrefu mipango na maandalizi yataanza .....hahhaha ...mkuu kwa hiyo ushakwarua wana JF wangapi?
na nyie mje mwanzishe uzi mnafunga ndo..