Gongo la mboto in pictures....

Thanx malunde for supporting the idea and your constructive decision on the matter,This is a shame to the nation...
 
How do you enlarge the pictures? Nimeshidwa.
 
Lazima watu wawajibike safari hii!! Baada ya kutokea Mbagala tuambiwe kimefanyika nini ili kunusuru kitu kama hiki kisitokee tena! na je, ina maana hakuna namna ya kuzuia janga kama hili kutokea?! Kama namna ipo kwa nini haikufanika?!
 
hiyo ni haiba yake, unajua hata akijitahidi asismile huwa anajikuta amesmile, ndivyo alivyoumbwa, msimuseme, hajipendei jamani...
 
Hilo tayari kuna jirani yetu limedondoka uwanjani hivi nimeamua kuhamia Kibaha kwa Mathiasi

Kuna Kambi ya Jeshi hapo inaitwa Nyumbu heri usogee Chalinze ama kule Msoga kabisa.
 
Ilianza Mbagala, now Gongo la Mboto, next ni Lugalo, Kunduchi au....??
Lazimz tuwajibishe watu hapa hili haliwezi kupita tuu bure.
Wanajamii tutoe modality ya jinsi ya kuwawajibisha watendaji na wasimamiaji ulinzi wa nchi hii.
Maandamano nchi nzima bila kikomo
 
hiyo Picture wanayoonekana kusmile na JK kuonekana kuvunja kabati kwa suti ya Kodroy ya Blue... Ni ya zamani kuleee Mbagala... Leo JK kapiga pamba za rangi ya khaki...
CHEZEA YEYE!!!
 
Mungu shusha rehema zako juu yao
 

Attachments

  • uwanjawataifa1.jpg
    27.3 KB · Views: 49
  • UWANJAWATAIFA2.jpg
    19.8 KB · Views: 51
  • UWANJAWATAIFA3.jpg
    23.1 KB · Views: 52
inahuzunisha.....KWA WENYE HAMU NA VITA .....NADHANI WATAKUWA WAMEJIFUNZA JAPO KIDOGO...YAANI JAPO KIDOGO....MADHARA YAKE NI NINI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…