Hapa ni milipuko tu ya mabomu yasikuwa na mweelekeo maalum. Sasa watanzania ndiyo wanatakiwa kujua kwa vita ni balaa tupu.
haya ni ya kawaida kabisa huko Baghdad na Kabul. wananchi rudini nyumbani msipoteze wakati kuzungumzia tukio hili anzeni kurekebisha nyumba zenu. Wengi wa watu hawakuumia kwa milipuko bali ajali za njiani, kuanguka kwenye giza na kukanyagana. Jambo la maana litokeapo tukio kama hili ni kutochomoka kwa pupa

haya ni mambo ya kawaida kabisa kwa nchi isiyokuwa na serikali kama tanzania
Kikwete ni nani?
Hii inauma sana na kutisha!
</td></tr> <tr><td class="tr-caption" style="text-align: center;">Nyumba ya mkazi mmoja wa Gongolamboto ikiwa imeharibiwa na Mabomu yaliyolipuka kutoka kambi ya JWTZ Gongolamboto.</td></tr> </tbody></table> 0 Maoni
</td></tr> <tr><td class="tr-caption" style="text-align: center;">Mkuu wa majeshi ya Ulinzi na usalama Tanzania JWTZ, Bw.Davis Mwamunyange, akijadili kitu katika eneo la tukio.</td></tr> </tbody></table> yale ya mbagala walisema mabomu tanzania itakua historia je haya watasemaje?