Gongo la mboto in pictures....

Thanx malunde for supporting the idea and your constructive decision on the matter,This is a shame to the nation...
 
attachment.php
attachment.php
 
Lazima watu wawajibike safari hii!! Baada ya kutokea Mbagala tuambiwe kimefanyika nini ili kunusuru kitu kama hiki kisitokee tena! na je, ina maana hakuna namna ya kuzuia janga kama hili kutokea?! Kama namna ipo kwa nini haikufanika?!
 
hiyo ni haiba yake, unajua hata akijitahidi asismile huwa anajikuta amesmile, ndivyo alivyoumbwa, msimuseme, hajipendei jamani...
 
Ilianza Mbagala, now Gongo la Mboto, next ni Lugalo, Kunduchi au....??
Lazimz tuwajibishe watu hapa hili haliwezi kupita tuu bure.
Wanajamii tutoe modality ya jinsi ya kuwawajibisha watendaji na wasimamiaji ulinzi wa nchi hii.
Maandamano nchi nzima bila kikomo
 
hiyo Picture wanayoonekana kusmile na JK kuonekana kuvunja kabati kwa suti ya Kodroy ya Blue... Ni ya zamani kuleee Mbagala... Leo JK kapiga pamba za rangi ya khaki...
CHEZEA YEYE!!!
 
Mungu shusha rehema zako juu yao
 

Attachments

  • uwanjawataifa1.jpg
    uwanjawataifa1.jpg
    27.3 KB · Views: 39
  • UWANJAWATAIFA2.jpg
    UWANJAWATAIFA2.jpg
    19.8 KB · Views: 40
  • UWANJAWATAIFA3.jpg
    UWANJAWATAIFA3.jpg
    23.1 KB · Views: 42
inahuzunisha.....KWA WENYE HAMU NA VITA .....NADHANI WATAKUWA WAMEJIFUNZA JAPO KIDOGO...YAANI JAPO KIDOGO....MADHARA YAKE NI NINI
 
Back
Top Bottom