Gongo la mboto in pictures....

Gongo la mboto in pictures....

Kwa waliokufa RIP.

Kwa wale walioathirika kwa namna moja au nyingine namuomba Mungu awajaalie amani na awatie imani.

Mungu ibariki Afrika, Mungu ibariki Tanzania
 
DSC00869.jpg
 
ccm hakuna inachoweza. milipuko kama hiyo inapohifadhiwa lazima kuwe na routine check up! sasa inamaana serikali inakimbilia kuilipa dowans wakati vi2 hatari kama hivyo vimekaa shaghalabagala. i conderm ccm!
 
Sasa maghala yote yawe 50 km square kutoka makazi ya wananchi bila kuchelewa kuanzia leo. Enough is enough! maeneo ya raia yawe na light weapons only.
 
The primary role of any government,any government is to protect its citizens!!What the hell about our govt???Do we need a commission to destroy the outdated army equipment??Why dont we learn through mbagala explosions???Now its a time to initiate a search on every military camps and identify all outdated/expired army equipment and destroy them NOW i mean ASAP.
Do we need extra man power or experts from abroad to do this simple job???

This has to do with the abilities of decision makers for this country, after the Mbagala explosions it seems no decision was made to prevent future explosions. The ability of our leaders to make decisions that protect their people is highly questionable. Our ability to hold Tanzania,s leadership responsible for the innocent blood is also questionable, why are we not taking actions like the Egyptians??
 
Hapa ni milipuko tu ya mabomu yasikuwa na mweelekeo maalum. Sasa watanzania ndiyo wanatakiwa kujua kwa vita ni balaa tupu.
 
Najua kinachofuata ni KUUNDA TUME kwa kinachoitwa kufanya uchunguzi wa kina ni nini kilichosababisha milipuko. Ile tume ya Mbagala sijui mapendekezo yake yalifanyiwa kazi kweli?? Nadhani siyo. Au haikutoa ripoti yake. Kama ilitoa mapendekezo ya nini kifanyike, serikali kupitia wizara ya ULINZI ilitekeleza hayo yaliyopendekezwa??.

Safari hii kwenye hiyo tume na sisi tumo. Poleni ndugu zetu wa G'Mboto.
 
Gosh.....this is heart breaking!!Yani kuangalia tu mwili unasisimka!!!:A S 20:
Pole kwa wote yaliyowagusa kwa namna yoyote ile!!!!
 
Maskini wananchi wa Tanzania wanaangamia kwa viongozi wake kukosa maalifa ya kuongoza.
 
dsc00879.jpg


more displaced people!

unaweza fikiri wanelekea mbinguni la hasha hao wanawake wakiwatafuta waume zao na waume hao nyuma wakitafuta wake zao wakiamini wako mbele ya safari kama si mwenyezi mungu
polen wafiwa na mliopotelewa na waume zenu najua wapiga nje huu ndio muda wao wanaweza kulala nyumba ndogo mpaka siku tatu kama ulivyofungwa uwanja wa ndege anakwambia nilikuwa chanika/
 
I couldn't resist sharing this pic of yours. Glad you are safe.
Thanks
 
Eh Mungu watembelee wote waliofikwa na janga hili..
 
Hii ni hatari sana pamoja na ukata na udowans mabomu nayo ndio hivyo nasikia so faa watu waliopoteza maisha kwa athari za mabomu ya Gongo la Mboto jeshini ni watu 18
 
Back
Top Bottom