Hii ni bongo movie
Hii kitu inanisumbua akili kweli, sijui ni ugonjwa, yaani kama week sasa kila nikipiga goli machozi yananitoka. Kama ya jana ndio ilikua kali kabisa nililia mpaka demu akaogopa akaanza kunibembeleza. Ilianza kwa kupiga kelele, yaani likikaribia najikuta napiga kelele, uuuwiii, yeleuwiiii. sasa nimezuia kupiga kelele naona kilio ndio kimechukua nafasi. Naogopa kuzuia kilio maana sijui nini kitakacho chukua nafasi. ( Sijui itakuaje nahisi labda goli likifika naweza kutoka nduki sijavaa nguo)
kweli we ni maandazi sijawahi kuona....haha haha haha...next time ukizuia utajinye.a kabisa!
N;B usizuie raha au uchungu!
Lol! Hauko peke yako. Nimecheka hadi machozi! Hii hali ya hewa inawafanya watu waje na post za ajabu ajabu tu! Pole kuibiwa kuku. Anzisha uzi tu na wewe upokee pole za kumwaga:wink2:Dah nimecheka hadi nimesahau kama jana kuna waseng.e wameniibia kuku wangu jana usiku.
Nini tena chalii wa ara. Sanawari wanasemaje asee. Kuna ile baa inaitwa chini ya mti ipo bado.
unakojoa kokoto??????