Goli la machozi linanisumbua

Goli la machozi linanisumbua

Duh humu tutakuja kuuana yan nimecheka mpaka watu wananishangaa
 
Goli lako unalifungia upande upi wa goli manake kuna magoli mengine huwezi kuyafunga kutokana na mpira labda ulikua unaelekea nje ya goli au umepiga tiktaka au umepiga kichwa lazima uumie mpaka machozi yatoke isee.
 
yaani hii nchi haiwezi kuendelea miaka hii JF ni uwanja wa mapenzi na propaganda za CHADEMA NA kUSAHAU kabisa matatizo ya watanzania

Mkuu uwe unasoma kwanza jukwaa kabla ya kuingia,ona sasa unavyoonekana hamnazo.
 
Mona Mungu tu akuepushe na ku..Nya maana inaonesha hisia zinahamahama kwako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom