Goli la machozi linanisumbua

Goli la machozi linanisumbua

benteke

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2014
Posts
1,305
Reaction score
1,069
Hii kitu inanisumbua akili kweli, sijui ni ugonjwa, yaani kama week sasa kila nikipiga goli machozi yananitoka. Kama ya jana ndio ilikua kali kabisa nililia mpaka demu akaogopa akaanza kunibembeleza. Ilianza kwa kupiga kelele, yaani likikaribia najikuta napiga kelele, uuuwiii, yeleuwiiii. sasa nimezuia kupiga kelele naona kilio ndio kimechukua nafasi. Naogopa kuzuia kilio maana sijui nini kitakacho chukua nafasi. ( Sijui itakuaje nahisi labda goli likifika naweza kutoka nduki sijavaa nguo)
 
Usiogope, nini kulia hata beberu analia....
 
kweli we ni maandazi sijawahi kuona....haha haha haha...next time ukizuia utajinye.a kabisa!

N;B usizuie raha au uchungu!
 
Hii kitu inanisumbua akili kweli, sijui ni ugonjwa, yaani kama week sasa kila nikipiga goli machozi yananitoka. Kama ya jana ndio ilikua kali kabisa nililia mpaka demu akaogopa akaanza kunibembeleza. Ilianza kwa kupiga kelele, yaani likikaribia najikuta napiga kelele, uuuwiii, yeleuwiiii. sasa nimezuia kupiga kelele naona kilio ndio kimechukua nafasi. Naogopa kuzuia kilio maana sijui nini kitakacho chukua nafasi. ( Sijui itakuaje nahisi labda goli likifika naweza kutoka nduki sijavaa nguo)

Samahani, kwani wewe unacheza timu gani?
 
ha ha ha Ndio maana mnaambiwa utamu wa ngoma usikubali kuadithiwa ingia uicheze mwenyewe!
 
hebu jaribu sikunyingine wewe uwe golikipa, tafuta wafungaji wazuri, alafu uangalie ukipigwa bao je utalia pia. usisahau kutuletea mrejesho.
 
Ahahahahahahahahahahahahhahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaha
 
Hii kitu inanisumbua akili kweli, sijui ni ugonjwa, yaani kama week sasa kila nikipiga goli machozi yananitoka. Kama ya jana ndio ilikua kali kabisa nililia mpaka demu akaogopa akaanza kunibembeleza. Ilianza kwa kupiga kelele, yaani likikaribia najikuta napiga kelele, uuuwiii, yeleuwiiii. sasa nimezuia kupiga kelele naona kilio ndio kimechukua nafasi. Naogopa kuzuia kilio maana sijui nini kitakacho chukua nafasi. ( Sijui itakuaje nahisi labda goli likifika naweza kutoka nduki sijavaa nguo)

kuishi kwingi kuona mengi
 
We jamaa sio striker kabisa...umeniangusha!!!
 
Sasa mkuu unaogopa kulia. wewe lia tu hakuna wakukuzuia ila kuwa makini usije kumsifia ex wako kwenye game utaharibu. sio jokes jamani ishamtokea rafiki yangu kila akitaka kupiga bao anajikuta analopoka na kumtaja ex wake tena kwa mifano na sehemu walizokuwa wanakutana
 
Labda kuna mtu huwa anajificha humo chumbani bila ya wewe kujua na anaanza kukata kata vitunguu, mwenzio hatokwi na machozi sababu kazoea mambo ya jikoni wewe hujazoea ndio maana unatokwa na machozi
 
Daah.

Nchi hii haiwez kuendelea kamwe kama watu wake wanawaza namna hii

Maskini..
 
This is fantastic... kama bongo movie hivi lakin ndo hivo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom