Nyamayao
JF-Expert Member
- Jan 22, 2009
- 6,966
- 2,380
Karibu anytime we'll talk ni kweli tumekulia makuzi na malezi tofauti ila mzazi ni mzazi hata akiwa mchawi ni wako kukanwa na mtu wa damu yako inauma sana asikwambie mtu mie sijawahi kanwa wala sijawhi kana mtu ila huwa napata huzuni na kuhisi au ku-feel ule uchungu anaoupata mtu anayekuwa rejected aidha na mzazi au mtoto hasa pale anapohitaji msaada kutoka kwa anayem-reject.
Nimekuelewa hali unayopata na hasira inayokujia kila unapo-reclall maisha uliyopitia hutaki hata kusikia baba nyamayao ila let it pass and do not let feelings control you, you can control your feeling if you want. Jioni njema mwaya
nawe pia sweetheart!