Gold Digging? ? Wanamme ni Kiboko . . .

Gold Digging? ? Wanamme ni Kiboko . . .

Lia, kinyongo huisha. Na kama una ya kumwambia, mwambie yote ili hilo donge liishe. Vinginevyo huwezi kusamehe kama una donge kifuani.

kinachouma zaidi nikikumbuka tulivyosoma kwa shida, mama alivyohangaika, halafu tulikuwa tunaambiwa baba yenu ana cheo fulani mahali fulani, kwamba alikuwa ana uwezo wa kutosha kabisa kutulea, hakufanya hivyo, yaani mie leo naanzaje kusamehe/kusahau? kiukweli nitakuwa mnafiki, bado nina bonge la kinyongo nae na hilo analijua ni bora tubakie tu hivi hivi kwa sasa kuliko nijiumize kwa "kusamehe kinafiki" kumbe naugulia ndani kwa ndani, hiki kitu anatakiwa akijutie/ajilaumu mpaka siku atakapotwaliwa.
 
waweza msamehe akakutwisha majukumu mpaka ujute kumfahamu. haya mambo we acha tu, yanaumiza kweli kweli. pole my dear ila tu jitahidi kuretain furaha yako kwa gharama yoyote.

dear, mie nina raha zangu za kutosha, kuanzia nimekuwa na kujitambua sijawahi kumfikiria kabisaaa, siku hizi ananiudhi tu na sms zake, hapo huwa nabadilika chap, ataanza kwa salamu ukiijibu vizuri atatuma nyingine "mama sipo vizuri niwezeshe baba yako" hapo nabadilikaga haswaa, kwanini sasa hivi? alikuwaga wapi? na anajua kabisa kwamba tuna uwezo wa kumwezesha vya kutosha, kuna siku alimwambia mama eti anataka kuja kubadili hali ya hewa kidogo so afikie kwa mama, kwanza tulimuuliza mama yeye anasemaje, bahati yake tu mana tulimwambia hatutatia mguu kwake mpaka huyo mzee aondoke, asubiri mpaka tukiweka peace nae, kwa upande wangu mie sijui ni lini kwa dada yangu ndio kabisaaa ukianza kumtamkia tu neno baba, majanga. hahahahah kazi anayo huyo mzee, na sijui imekuwaje, hao watoto wake wengine aliowasomesha kwa bidii hawamsaidii kwa lolote kabisa, wamemtelekeza, mwanamke wa mwisho kuzaa nae alivyoona kiinua mgongo kinakatika nae akatimua, kaachiwa mtoto sawa na kitukuu chake, kwanini sisi sasa hivi, sijui bwana mie ngoja nifunge chapter za huyu mzee tutajua huko mbeleni mambo yatakavyokuwa but kwasasa angoje ngoje kwanza.
 
Lia, kinyongo huisha. Na kama una ya kumwambia, mwambie yote ili hilo donge liishe. Vinginevyo huwezi kusamehe kama una donge kifuani.

ishu sio kulia sweet, siwezi kumlilia kabisa, nilishalia wakati mama anapambana na ada zetu, madeni kila kona nyumba unaiona chungu ukienda likizo, yaani nimlilie yeye? khaa., hajawahi hata kunishtua mshipa kiroho safi tu! ishu yangu ni usumbufu wake kwetu kwasasa, kwanini sasa hivi?
 
kinachouma zaidi nikikumbuka tulivyosoma kwa shida, mama alivyohangaika, halafu tulikuwa tunaambiwa baba yenu ana cheo fulani mahali fulani, kwamba alikuwa ana uwezo wa kutosha kabisa kutulea, hakufanya hivyo, yaani mie leo naanzaje kusamehe/kusahau? kiukweli nitakuwa mnafiki, bado nina bonge la kinyongo nae na hilo analijua ni bora tubakie tu hivi hivi kwa sasa kuliko nijiumize kwa "kusamehe kinafiki" kumbe naugulia ndani kwa ndani, hiki kitu anatakiwa akijutie/ajilaumu mpaka siku atakapotwaliwa.

mie naona kama wengi wao wanaotutafuta kwasasa wameshakuwa wastaafu na pesa zao walizimalizia kwenye starehe za maisha hawana mbele wala nyuma sasa wanatafuta pa kushika, huyu mzee wangu anatafuta pa kushika tu!

mmmhhh dada umeongea maneno makali sana daah basi hata kama hutamsamehe ila hiki unachokiandika hapa kumbuka ni kumbukumbu, na kama yule ni mzazi wako laana ni rahisi kukupata hata iweje na akikubariki hata kama hajakulea utabarikiwa maana amepewa mamlaka na mungu akubariki. Nahisi nikwambie mengi ila kuliko kama hutamsaheme basi usiendelee kutia au kuweka neno na kiasi cha kusema anatafuta pa kushikia baada ya kuzeeka mmmh!! Thank God mie sikupitia huko ila I feel PITY about your parent the way anaji feel now, na wewe huna mkataba na mungu huwezi jua watoto wako watakutendeaje hata kama utawalea kwa mapenzi yote. Najua waweza jipa matumaini na kunipa jibu lolote ila hasira yako iwe juu ya maendeleo na si juu ya viumbe walioumbwa na mungu hiyo muachie mungu ata deal nae wewe fanya wajibu wa kumtunza na kumlea. Kama wewe ni mkristo tumefundishwa kusamehe saba mara sabini tena usahau kisha muoneshe upendo walahi utakuwa unamliza huyo baba yako hadi siku anaingia kaburini. Maana ataendelea kujuta hadi anakufa nawe utakuwa mweupe ila kama unamgwaya sasa kwa kurefer historia ya nyuma siku akifa utaenda weka shada kwenye kaburi lake kama mtoto wa marehemu au hutafika hata kumzika? Jiulize mambo mengi jua duniani humu hauishi peke yako mambo mengine hayana budi kuja ili ujifunze sio na wewe ulipize kwa ubaya. Ulitendewa ubaya sawa lipiza wema hili litakuwa somo kwa walioshuhudia mlivyoishi kwa shida na sasa mna neema kumzidi aliyewanyanyasa.
Natamani upate ninachomaanisha moyoni mwangu ila kama unaweza bora usiendelee kukashifu baba yako mzazi hata kama hakuna anayemjua humu, ni damu yako yule, bila yeye usingekuwepo leoi kupost hapa jf fikiria mbele zaidi.
 
samehe ila kaa nae mbali
 
itakua kama ile ya King Majuto na mwanawe.Nakwenda mjini kwa mwanangu,bonge la comedy
 
hivi kwanini kila mtu anamlaumu baba? Ni wanawake wangapi wanapata ujauzto na hawawaambii wenza wao? Kwa mfano; mnaweza kula tunda (one night stand) na mambo ikajbu bila kujua ukaenda (me/ke) mbali. Aliebeba mimba hakutafuti na mtoto anampga mkwara bdae zkja taarfa kama za dilish dhahama inatua kwa wanaume. Why??
 
wengi wanaowakataa baba zao kgezo kikubwa ni "pesa/shiling/money" utawaskia ooh! kaona nimepata ndo anataka nimsaidie. Kama tu wangetambua na kuelewa kwamba Mali, pesa ama chochote tulizaliwa tukavikuta, tutakufa tutaviacha nadhani wasngeshkilia msmamo huo. Natambua na najua wanavojiskia kwa wazaz wao hao lakin kama yeye alkosea na wewe ukosee? Jaman "jino kwa jino, litaiacha dunia kibogoyo"
 
tuchulie baba ndio milionea anamtafuta mwanae,ungejitokeza?
 
tukiachilia mafanikio ya huyo dada, mie pia nipo kwenye situation kama hiyo, kwamba kwasasa "baba" ndio anataka kututambua, tena anakuomba kabisa umpelekee na wajukuu wakamfahamu babu yao, hakututunza kwa lolote lile, bado tunajiuliza "kakumbuka nini kwetu na tumeshazeeka kwasasa" kwamba hakuona dhamani ya kutulea bali anaona dhamani kwamba ana watoto na wanajiweza kidogo kubadili mboga ndio anaona ndio muda wake muafaka wa kututafuta? alikuwa wapi siku zote? sijui bwana kama mie naweza samahe.

....please forgive him na umpokee with all your hert, kosa lake si kosa lako, he did it to you dont do it to him. its not all about money there is something more. anyway let say anakuja kwaajili ya hela, ni kiasi gani atakacho tumia kwa umri huu..? na kama hujatumia na yeye wengine watazitumia tu. mpe nafasi, he is your FATHER...
 
Hivi hapo blue ni unaamua tu, au ni kitu kinakuja nachurale? Hivi unauamuru moyo kusamehe?

cc Nyamayao

Last edited by a moderator:
mmmhhh dada umeongea maneno makali sana daah basi hata kama hutamsamehe ila hiki unachokiandika hapa kumbuka ni kumbukumbu, na kama yule ni mzazi wako laana ni rahisi kukupata hata iweje na akikubariki hata kama hajakulea utabarikiwa maana amepewa mamlaka na mungu akubariki. Nahisi nikwambie mengi ila kuliko kama hutamsaheme basi usiendelee kutia au kuweka neno na kiasi cha kusema anatafuta pa kushikia baada ya kuzeeka mmmh!! Thank God mie sikupitia huko ila I feel PITY about your parent the way anaji feel now, na wewe huna mkataba na mungu huwezi jua watoto wako watakutendeaje hata kama utawalea kwa mapenzi yote. Najua waweza jipa matumaini na kunipa jibu lolote ila hasira yako iwe juu ya maendeleo na si juu ya viumbe walioumbwa na mungu hiyo muachie mungu ata deal nae wewe fanya wajibu wa kumtunza na kumlea. Kama wewe ni mkristo tumefundishwa kusamehe saba mara sabini tena usahau kisha muoneshe upendo walahi utakuwa unamliza huyo baba yako hadi siku anaingia kaburini. Maana ataendelea kujuta hadi anakufa nawe utakuwa mweupe ila kama unamgwaya sasa kwa kurefer historia ya nyuma siku akifa utaenda weka shada kwenye kaburi lake kama mtoto wa marehemu au hutafika hata kumzika? Jiulize mambo mengi jua duniani humu hauishi peke yako mambo mengine hayana budi kuja ili ujifunze sio na wewe ulipize kwa ubaya. Ulitendewa ubaya sawa lipiza wema hili litakuwa somo kwa walioshuhudia mlivyoishi kwa shida na sasa mna neema kumzidi aliyewanyanyasa.
Natamani upate ninachomaanisha moyoni mwangu ila kama unaweza bora usiendelee kukashifu baba yako mzazi hata kama hakuna anayemjua humu, ni damu yako yule, bila yeye usingekuwepo leoi kupost hapa jf fikiria mbele zaidi.

hivi kumbe nimesema maneno makali sana? haya nisamehe, lakini labda hujui nikikumbuka ya nyuma najisikiaje, yap mie katoliki wa nguvu, mengine wacha niyaache kama yalivyo kwa sasa, mhh nadhani nikipata muda nitakufata PM hapa sitaeza kukuambia ninachotaka kusema kutokana na comment yako, nikipata tu nafasi ntakuchungulia, thanx sana.
 
....please forgive him na umpokee with all your hert, kosa lake si kosa lako, he did it to you dont do it to him. its not all about money there is something more. anyway let say anakuja kwaajili ya hela, ni kiasi gani atakacho tumia kwa umri huu..? na kama hujatumia na yeye wengine watazitumia tu. mpe nafasi, he is your FATHER...

mhh jamani, mie sijasema kikubwa ni ishu ya pesa bali kwanini sasa ndio atake kututambua? kwanini sasa, kwanini haikuwa kipindi kile mama akimtafuta akimwambia watoto wako wamerudishwa fees akamsikiliza? kwanini wale aliowasomesha hawamsikilizi wote wamemuacha, kwanini sisi kwa kipindi hiki, mie sijui hata kama naeleweka jamani, sijui kabisaaa.
 
Hivi hapo blue ni unaamua tu, au ni kitu kinakuja nachurale? Hivi unauamuru moyo kusamehe?

cc Nyamayao

ndipo hapa ninapohisi kwamba mnashindwa kunielewa, na mie siwezi unafiki jamani, nikifanya kwasasa itakuwa nafanya unafiki tu! hivi alikuwa wapi mpaka akaruhusu haya yote yatokee, naambiwa laana, hivi mie nilivyokuwa nasononeka kiasi kile ifikie nasema kilichopo rohoni naambiwa huyo ni baba yako utapata laana? mhhh hamnitendei haki mjue, yaani wote nyie ni samahe, yule ni baba yako sijui nini na nini, kwani yeye hakujua wajibu wake kama baba jamani?
 
samehe ila kaa nae mbali

ndugu yangu hapo ndipo panaponishinda, nasameheje jamani? naanzia wapi, sijui pa kuanzia kabisa, na nikisema namsamehe tu ili mradi yaishi rohoni ntaumia sana jamani coz itakuwa haijatoka rohoni kabisaaaaa, na hapo mie ni mkatoliki kamilifu, sikosi misa ya kwanza kila jumapili, na kumsamehe nashindwa, mie sijui bwana haya mambo yataisha lini na yataishaje, Mkunde Original kaniambia sina mkataba na Mungu watoto wangu sijui nini na nini, sawa sikatai ntawatunza huko mbeleni hakutabiriki lakini ntakuwa ni mzazi niliewatunza watoto wangu kwa upendo/shida/raha, hii ni tofauti kabisa na baba alivyotufanyia, nyie bwana hamnielewi, niongee kichaga?
 
wengi wanaowakataa baba zao kgezo kikubwa ni "pesa/shiling/money" utawaskia ooh! kaona nimepata ndo anataka nimsaidie. Kama tu wangetambua na kuelewa kwamba Mali, pesa ama chochote tulizaliwa tukavikuta, tutakufa tutaviacha nadhani wasngeshkilia msmamo huo. Natambua na najua wanavojiskia kwa wazaz wao hao lakin kama yeye alkosea na wewe ukosee? Jaman "jino kwa jino, litaiacha dunia kibogoyo"

hahaha imebidi tu nicheke, inakuaje kama hawa wababa wangeendelea tu na msimamo wao wa awali? yaani kila mtu aishi jinsi alivyokuwa anaishi awali, no mtafutano wala kitu gani? kwanini wasiendelee na moyo huo huo walioanza nao?
 
kinachouma zaidi nikikumbuka tulivyosoma kwa shida, mama alivyohangaika, halafu tulikuwa tunaambiwa baba yenu ana cheo fulani mahali fulani, kwamba alikuwa ana uwezo wa kutosha kabisa kutulea, hakufanya hivyo, yaani mie leo naanzaje kusamehe/kusahau? kiukweli nitakuwa mnafiki, bado nina bonge la kinyongo nae na hilo analijua ni bora tubakie tu hivi hivi kwa sasa kuliko nijiumize kwa "kusamehe kinafiki" kumbe naugulia ndani kwa ndani, hiki kitu anatakiwa akijutie/ajilaumu mpaka siku atakapotwaliwa.
Karibu anytime we'll talk ni kweli tumekulia makuzi na malezi tofauti ila mzazi ni mzazi hata akiwa mchawi ni wako kukanwa na mtu wa damu yako inauma sana asikwambie mtu mie sijawahi kanwa wala sijawhi kana mtu ila huwa napata huzuni na kuhisi au ku-feel ule uchungu anaoupata mtu anayekuwa rejected aidha na mzazi au mtoto hasa pale anapohitaji msaada kutoka kwa anayem-reject.
Nimekuelewa hali unayopata na hasira inayokujia kila unapo-reclall maisha uliyopitia hutaki hata kusikia baba nyamayao ila let it pass and do not let feelings control you, you can control your feeling if you want. Jioni njema mwaya

Back
Top Bottom