gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,272
- 20,720
kwahiyo mliweza kupelekana nyumbani kukutambulisha kwa ndugu zako wengine au mlitafutana nyie wawili tu?
nilimtafuta mimi binafsi manake nilikuwa nimeshapata taswira ya nini kinachoweza kutokea so nilijiandaa ingawa pia sikuogopa as nilijisemea moyoni akikataa ni poa tu na akikubali nitasema asante.