Godbless Lema live Channel Ten

Godbless Lema live Channel Ten

Atakuwepo tena wiki ijayo muda kama wa leo!
Nimeeleza kwa sehemu tu ila siyo siri Lema ni mkali!
 
Ni kweli Lema hapaswi kuwa na woga wala hofu, hayo yote ni matunda ya utawala wa CCM katika kujenga amani, utulivu na mshikamano, kama inavyokuwa kwa raia wengine.
 
Huyu jamaa namkubali sana nchi inakombolewa na watu jasili kama hawa.
 
Pia anasema wachafurahie kuwa yeye kaonewa na mahakama kumvua ubunge kuwa haikutenda haki
lkn hapohapo anasema hapend kuona mtu yeyote akionewa iwe wa ccm,cuf au raia kwani ukishabikia lema kuvuliwa ubunge mahakama haitaacha mwendelezo wa kutokutenda
hata ukiwa mtu wa ccm bibi yako atadhulumiwa shamba na hukumu za rushwa na kibabe n.k
anasema hapend kuona hayo......!
 
huyu jamaa anaelewa ni sampuli gani ya watu anaowawakilisha kwa hiyo hhitaji kubembeleza watu wa arusha wanataka siasa za kupambana na siyo soft siasa kama wengine wanavyodhani
Mheshimiwa Lema awahakikishia wananchi wa Arusha kujenga hospital tena wakimuuzi kwa kutokuamini basi atajenga mpaka swimming pool hospitalini. Big up Mheshimiwa Lema.
 
Hoyce Temu amesema mwendelezo ni Jumapili saa 1:30 jioni Channel 10
sjui kuunganisha link sjui kama mnaweza nisaidia
lkn huyu H. Temu huwa anaweka kwa Facebook....
Search- MIMI NA TANZANIA
huwa anaweka!!
thanx mkuu, ubarikiwe kwa kutujuza hayo.!
 
Hata kama elimu yake ni ndogo kama tunavyoaminishwa ila jamaa yupo smart kuliko hata hao wenye elimu kubwa hapa tz.....kasema kama kupigania haki ni fujo bs waendelee kumwita kinara wa fujo kwani hata nyerere wakt anapigania uhuru wazungu walisema anavunja sheria za nchi

elimu ni zaidi ya vyeti mkuu, nipatie cv ya dr. shukuru kawambwa.
 
Hongera kamanda Lema Mungu awapiganie,ushauri wangu mdogo ni kuwa jitahidi kutokuchanganya sana lugha ukiwa kny media maana kuna watakaopunjwa utamu wa habari husika,leo ulichanganya sana! Vinginevyo nakuombea kheri
 
Huyu jamaa anajua jamani huwezi pata majembe kama haya kwenye chama cha mafisadi.
 
Back
Top Bottom