Godbless Lema live Channel Ten

Godbless Lema live Channel Ten

Ni kweli Lema hapaswi kuwa na woga wala hofu, hayo yote ni matunda ya utawala wa CCM katika kujenga amani, utulivu na mshikamano, kama inavyokuwa kwa raia wengine.

Hamy D...lazima uwe uamsho manina zako.
 
Jana niliweka uzi kuiasa jamii forums ibadilike na kujadili masuala yanayoweza kutuchukua hatua moja mbele katika mabadiliko yatakayotulea maendeleo. Uzi huo uliondolewa haraka kwa kuwa sikuisifu ama kuikashifu CCM/Chadema. Mwendo huu tunaokwenda nao wa matusi na kutukuzana pasipo fikra,tunapandikiza mbegu mbaya na kujenga uhasama badala ya kujadili masuala mazito. Uzi huu ni mfano halisi wachangiaji wengi hawana hoja ila kurudia maneno hayohayo. Pengine jamii forums kuna wanaolipa au wanaolipwa maoni yao yatokee. Mimi ni mzee wa kutosha tusipokuwa waangalifu jf itayumba au baya zaidi italiingiza taifa shimoni. Yako mengi ya maana ya kuikosoa serikali ama kuishauri kiungwana mbona tunajitia hamnazo hatufanyi hivyo au waanzilishi wa jf ni kuletea nchi janga?
 
Point of Correction: Mount Kilimanjaro, with its three volcanic cones, Kibo, Mawenzi, and Shira, is a dormant volcanic mountain in Kilimanjaro National Park, Kilimanjaro Region, Tanzania. It is the highest mountain in Tanzania, the highest mountain in Africa and the highest free-standing mountain in the world at 5,895 metres or 19,341 feet above sea level (the Uhuru Peak/Kibo Peak). This statistical significance helped Mount Kilimanjaro secure the position as one of the Seven Natural Wonders of Africa, which were officially declared on February 11, 2013 in Arusha, Tanzania.
 
[QUOTE
lema ni mpiganaji hodari tena jasiri. lakini nampa ushauri kwamba katika ksema ukweli ajenge hoja kwa sentensi chache kisha kuhitimisha hoja yake kwa kuzingatia zile hoja. hapo wasikilizaji wake watashindwa kubisha au kumpinga. mfano kama unataka kusema X ni mwizi utaanza:
1. X anapata mshahara wa kima cha chini
2. X hajarithi mali popote na hana shughuli inayomwongezea kipato
3. X kwa muda mfupi ameweza kuhodhi jumba la kifahahari
4. X kwa vyovyote ni mwizi hivo ni lazima atueleze amepataje hizo fedha
hata madai ya udini yafaa yajengewe hoja kwa njia hii. akifanya hivi atajenga heshima kubwa
Je kama kaokota fedha au kapewa zawadi au ameshinda bahati na sibu. Acha ujinga. Mwenyewe ujui kujenga hoja
 
inabid awe makin magamba yanaweza weka hila ili isijengwe alafu aonekane c chochote kwa wana arusha. bt kip goin kamanda, timiza ahad
 
Majembe ya Chadema yote yamenolewa acha hivi vibutu vya maccm. Lema kaza buti.
 
Godles kakosa mvuto mbele ya wapiga kura anaonekana mzee wa miaka sitini hasa kutokana na mipasho yake ya kimahazi ya pwani bungeni yaani yupo kama Bi kidude.
 
kunauwezekano mkubwa sana kwa sasa tukiwapima akili wazee, vijana na akina mama wa ccm wanaweza kuwa na magonjwa ya akili, chemba moyo etc. kutokna na kuona wananyang'hanywa tonge mdomoni sio muda mrefu
 
Inamtosha kabisa kujitambua na kupambanua matatizo yanayoizunguka jamii yake kuliko akina JOB N CO,
 
kamanda anafunguka pale.

Anasema Tanzania tuna Pamba, Korosho, Kahawa, gas , mafuta, uraniam, Tanzanite, mlima wa pili kwa urefu duniani, mbuga za wanyama kubwa kabisa duniani, hali ya hewa nzuri, nk, nk, sasa hapo tukisema Tanzania ni maskini ni kufuru.

Anasema tatizo ni hatuna viongozi wenye upendo na nchi yao ndiyo maana tuko hivi tulivyo!

Alipoulizwa kuhusu ahadi yake ya kujenga Hospitali jimboni kwake kwamba atawezaje kuitimiza wakati amekaa nje ya ubunge kwa muda mrefu, amesema ni kweli amekuwa katika usumbufu kwa takribani miaka miwili LAKINI LAZIMA NDOTO YAKE HIYO ITIMIE KUFIKIA 2015. Hataki kuwa mtu wa kutoa sababu tuu za kutokimiza ahadi.

Mlima wa pili kwa urefu Duniani.......???
Au milima mingine imezama...!
 
Back
Top Bottom