Godbless Lema: Kesho narudi bungeni!

Spika maku sana,naibu ndo kabisaa,bunge linakosa heshima kwa kuongozwa na micharuko kama wale.
 

Kuna watu wameumbwa kufurahisha,kupendwa,kusikilizwa na kufuatwa....Lema ni mojawapo...
Nakumbuka kipindi cha kesi ya Mbowe nilikuwa jijini Arusha nikawa naongea na Makada ambao tunafahamiana....mmoja alisema hivi na kuungwa mkono na wenzake
"Hili jamaa linakubalika kwa vijana...halafu mambo mambo yake tu yaani unajikuta unalikubali tu sio kwamba eti ana hoooja kivile" mwingine akadakia "umeona eeh"
 
Hata magazeti ya udaku Kiu, Ijumaa, Tanzania Daima, Uwazi, yanapendwa.
 
Ni wakweli, makini, wabunifu, na wanasoma mazingira, wanadata siyo porojo! Utaachache kuwapenda.

Wenye Akili wote wanawapenda hata kama si wanachama kama mimi.
 
Hata magazeti ya udaku Kiu, Ijumaa, Tanzania Daima, Uwazi, yanapendwa.

Jana naona nilikuchongea kwa bosi wenu pale Lumumba maana ulikuwa unawategea wenzako SUMU,M23 na chillsosi
 
Angalia akili ndogo hizi, yaani unafananisha kupendwa kwa kingwendu na Lema, ungekuwa na busara ungeficha upumbavu wako kwa kukaa kimya
Mie nadhani mpumbavu ni wewe unayetumika kama msukule
 
udhalimu huu wa kikwete na mafisadi wa ccmutaaibishwa tu.
 

baba wa watu alishajisemea heri ya Dr Slaa kuliko toto tundu ona sasa mateso haya najua Bi mkora pamoja na ulinzi debe lakini halali iko siku ataukana uspika maana hii na guantanamo tofauti haipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…