kapotolo
JF-Expert Member
- Sep 19, 2010
- 3,727
- 2,221
Heri msukule kuliko wewe unaetumwa na mwanaume mwenzio kuja kumwaga uharo JF, unadhalilisha uanaume wako, kama kweli ni mwanaumeMie nadhani mpumbavu ni wewe unayetumika kama msukule
Heri msukule kuliko wewe unaetumwa na mwanaume mwenzio kuja kumwaga uharo JF, unadhalilisha uanaume wako, kama kweli ni mwanaumeMie nadhani mpumbavu ni wewe unayetumika kama msukule
Angalia akili ndogo hizi, yaani unafananisha kupendwa kwa kingwendu na Lema, ungekuwa na busara ungeficha upumbavu wako kwa kukaa kimya
Utaniheshimu tu...Heri msukule kuliko wewe unaetumwa na mwanaume mwenzio kuja kumwaga uharo JF, unadhalilisha uanaume wako, kama kweli ni mwanaume
Kwa hilo nalikubali kwani alifanikiwa kunibrainwash hata mimi mpaka nikaingia Chadema lakini nilishtuka baadaeKuna watu wameumbwa kufurahisha,kupendwa,kusikilizwa na kufuatwa....Lema ni mojawapo...
Nakumbuka kipindi cha kesi ya Mbowe nilikuwa jijini Arusha nikawa naongea na Makada ambao tunafahamiana....mmoja alisema hivi na kuungwa mkono na wenzake
"Hili jamaa linakubalika kwa vijana...halafu mambo mambo yake tu yaani unajikuta unalikubali tu sio kwamba eti ana hoooja kivile" mwingine akadakia "umeona eeh"
Huu mzigo unawasubiri mkuu
Kaka Lema ni noma ... Ni mandela wa tanzaniaView attachment 90582
Kulingana na hali ya nchi ilivyo na hali ya maisha ya watanzania yalikofikia hivi sasa tangu Kikwete aingia madarakani, nafikiri unahitaji kuwa na akili ya mwendawazi ili uweze kuishabikia CCM. Naona umefikia mahali unakumbuka picha ya kadi za CHADEMA ulizizpiga wakati ukiwa kiongozi wa CHADEMA UK, na kutuwekea kwenye mitandao eti ukijaribu kulinganisha na zile ambazo CCM wamerudishiwa. Kubali tu umepotea njia. Kama umeenda CCM kwa ajili ya njaa basi vumilia, lakini kama ni kwa uelewa na umakini wa kuchambua hali ya mambo basi unahitaji maombi, maana ni dhahiri kwamba wewe si mzima. CCM ishapoteza dira. Hata Nyerere alisema!Mie nadhani mpumbavu ni wewe unayetumika kama msukule
utaheshimiwa na wanaokutuma sio mimi, siwezi kuheshimu watu wanaotumia matumbo kufikiri.Utaniheshimu tu...
Najua tatizo lako umekuwa brainwashed kwa hiyo ni wajibu wangu kuwaamsha misukule kama wewe ili mjitambue.
Kulingana na hali ya nchi ilivyo na hali ya maisha ya watanzania yalikofikia hivi sasa tangu Kikwete aingia madarakani, nafikiri unahitaji kuwa na akili ya mwendawazi ili uweze kuishabikia CCM. Naona umefikia mahali unakumbuka picha ya kadi za CHADEMA ulizizpiga wakati ukiwa kiongozi wa CHADEMA UK, na kutuwekea kwenye mitandao eti ukijaribu kulinganisha na zile ambazo CCM wamerudishiwa. Kubali tu umepotea njia. Kama umeenda CCM kwa ajili ya njaa basi vumilia, lakini kama ni kwa uelewa na umakini wa kuchambua hali ya mambo basi unahitaji maombi, maana ni dhahiri kwamba wewe si mzima. CCM ishapoteza dira. Hata Nyerere alisema!
Na huu ni nini?
Hii ni aibu sanaMkuu wakati mwingine tujenge nidhamu kwa viongozi wa kidunia.
Kumfananisha Mzee Mandela na Lema ni kumdhalilisha mzee wa watu.
mkuu umepona kale kaugonjwa?
Na huu ni nini?View attachment 90587
hata magazeti ya udaku kiu, ijumaa, tanzania daima, uwazi, yanapendwa.
Wanajf,jana usiku nilipata nafasi ya kwenda kuangalia tarifa ya habari ya saa 2 usiku katika ukumbi wa chuo, wanafunzi walikua ni wengi sana na wnapenda sana kuanaglia tarifa ya habari ya ITV.
Nilishangazwa sana pale GODBLESS LEMA alivyo sema kesho narudi bungeni, ukumbi mzima ulisimama na kushangilia. Ndipo nilipo amini kuwa CHADEMA ni chaguo la MUNGU.
MUNGU ibariki TANZANIA, MUNGU ibariki CHADEMA.
mkuu serikali ya maisha yako ni kichwa chako hakuna chama cha siasa dunia ambacho kitayasimamia maisha yako.
Huwezi kuwa unashinda vijiweni unakunywa viroba utegemee chadema wakiingia madarakani watakusaidia.
Fursa zipo ni wewe kupambana na maisha siyo kuwa mtu wa kulalamika kila muda.
Kama una akili timamu ni wazi kapisa hizo kadi zimechapishwa wala hazijarudishwa na wanachama wa CDM. tofauti na hizo hapo juu. labda una chuki zako au unaitaka nafasi ya Nape.Na huu ni nini?
Na huu ni nini?