Godbless Lema: Kesho narudi bungeni!

Godbless Lema: Kesho narudi bungeni!

Usingoje kuambiwa tembea na chunguza uone jinsi cdm inavyopendwa.
 
Mkuu serikali ya maisha yako ni kichwa chako hakuna chama cha siasa dunia ambacho kitayasimamia maisha yako.

Huwezi kuwa unashinda vijiweni unakunywa viroba utegemee Chadema wakiingia madarakani watakusaidia.

Fursa zipo ni wewe kupambana na maisha siyo kuwa mtu wa kulalamika kila muda.

My dear, tunachoongelea hapa ni hizo fursa za kuwawezesha watu kujiwezesha kimaisha. Hizo fursa zipo wapi, ilihali gharama za maisha zinapanda kila kunapokucha ilihali hali ya vipato vya watu wa kawaida ikibaki vilevile? Nenda kawaangalie wakulima vijijini.

Natoa mfano wa wazazi wangu na ndugu zangu waliopo kijijini ambao njia kuu ya kujiongezea kipato ni kilimo. Ambacho kwa kawaida bado wanalima kwa zana duni. Sasa angalia bei za pembejeo zilivyo hivi sasa, halafu linganisha na bei za mahindi kwa mfano mara baada ya kuvuna. Serikali imeruhusu soko huru, thus, mahindi yananunuliwa na walanguzi, kwa bei ya chini sana isiyolingana kabisa na gharama walizotumia kuzalishia. Matokeo yake, kiasi wanachopata hakitoshelezi mahitaji yao ya kawaida kwa kuwa gharama ya maisha ipo juu mno, na hapo hapo mwaka unaofuata hawawezi tena kununua pembejeo bora za kilimo.

Matokeo yake uzalishaji unazidi kushuka siku hadi siku, huku serikali ikiendelea kuagiza chakula kutoka nje, na kuwakatisha kabisa tamaa wakulima kwa kuwa vyakula vya kutoka nje vinauzwa kwa bei ndogo ukilinganisha na vinavyozalishwa nchini, na hivyo kuvifanya vikose kabisa soko. Kama wewe unayafahamu vema maisha ya kijijini angalau unaweza kusema chochote.

Najua Lukosi kwao ni bushi kabisa na anaijua vema hali ya maisha ya kijijini, lakini anajitahidi sana kuwa mnafiki na kujipendekeza kwa CCM huku akiujua ukweli kwamba CCM haijawasaidia kabisa wananchi wa vipato vya chini na hasa wakulima.
 
Na huu ni nini?

Chris!! Hata Kama fikra Pevu huna kweli na macho pia yanaukakasi unashindwa kutofautisha kadi hizo? Za sisimu zinaonekana zinatoka mikononi mwa watu na hizo zingine zinaonekana hazijatumika hata kidogo, inamaanisha kuwa zimetokwa kuchongwa.
 
Hii ni aibu sana
Mtu mwenye akili timamu huwezi kufananisha Mandela na Lema,
Sijawahi kusikia mandela akitafutwa na polisi kwa kosa la jinai
wanamageuzi wote huwa polisi ni nyumbani kwao. Hata Mandela alifungwa jela for years kwa kosa la uhaini na jinai. Kwa hiyo hata wanamageuzi wengine wana nafasi pia ya kupitia njia hiyo ya Mandela. Wala haitashangaza.
 
Kwa hilo nalikubali kwani alifanikiwa kunibrainwash hata mimi mpaka nikaingia Chadema lakini nilishtuka baadae
Umeacha lini kushinda lumumba ili utumwe sosej,chips,soda etc.,akili ndogo za magamba lazima zisifie waume zao
 
Na huu ni nini?
Kwa mtazamo wangu!.
attachment.php

Kutoka Sokoni (UCHAFU)
attachment.php

Zinakwenda sokoni (BIDHAA adimu)
CC: Chris Lukosi
 
Last edited by a moderator:
Tena wanazidi kupendwa baada ya kupigws ban ya siku tano....malumbano ya hoja na kwenye tv wakati wa bunge hasa kwenye mkusanyiko mahala penye kikamudhi....
Chadema ndio mpango mzima wa ukombozi....
 
kweli mnapendwa ila siku ya kupigiwa kura mnachukiwa duh.kazi mnayo kwa nn msipendwe hadi sikuya uchaguzi mkuu
 
Mkuu Chris Lukosi,

Huo mzigo umeupakuwa wapi mbona bado mbichi.
Mkuu haya ni mabaki ya chadema, nilikuwa nasafisha ofisi leo nikaukuta huu uchafu.
Nimechoma moto nitakuletea picha hapa zikiungua kwa sababu zinasababisha uchafuzi wa mzingira
 
Umeacha lini kushinda lumumba ili utumwe sosej,chips,soda etc.,akili ndogo za magamba lazima zisifie waume zao
Boss usinifanye nikujibu halafu watu waseme nina dharau.
Anyway na wewe unaweza kunituma tu, .... nikuwekee na Chilisosi kwenye chips zako?
 
Mkuu haya ni mabaki ya chadema, nilikuwa nasafisha ofisi leo nikaukuta huu uchafu.
Nimechoma moto nitakuletea picha hapa zikiungua kwa sababu zinasababisha uchafuzi wa mzingira

Lukosi kumbe ulivyoondoka hukukabidhi mali za watu? Wewe ni Police mbumbumbu,hujui kuwa kutokabidhi mali za watu ulizokabidhiwa kihalali ni kosa?
Anyway tuyaache hayo maana hata ukishtakiwa una kinga mahakamani kwa kuonyesha vyeti vya maradhi kumi na moja ambayo kisheria yanakutambulisha kuwa hauko sawa upande wa juu.
Nakushauri usizichome hizo kadi ila mpatie/ muuzie Nape ili azitumie kwenye mikutano yake kuonyesha zimerudishwa na wanachama wa CDM itasaidia kipropaganda.
 
Tundu Lissu na wenzake walioomba utaratibu yaani "Point of Order" hawakuwa na kosa lolote kwani Kanuni ya Bunge ibara ay 65(1)(c) inasema hivi:

{Isipokuwa tu kwa idhini ya Spika, Mbunge yeyote hataruhusiwa kusema zaidi ya mara moja juu ya hoja, ila tu kama anasema kuhusu utaratibu}

Hivyo, Lema, Lissu na wenzake hawajavunja kanuni yoyote na anayepaswa kuwajibika ni Job Ndugai kwani video imeonyesha wazi kuwa amezuia point of order wakati hana mamlaka hayo.

Hapo mkuu nashangaa maana wabunge wengine wameatamia viti vya bunge na kusinzia hawajui kanuni na wabunge wapya wako sharp wanajua kanuni. Cha kushangaza eti Naibu Spika anathuutu kusema eti ni kosa la kuwa mgeni bungeni. Shut up!
 
Sifa binafsi wamachinga arusha shida kibao amekalia mwongozo wa spika

Asee Arusha mjini hatuna shida kabisa compared 2 majimbo mengine ambapo hakuna kila kitu halafu mnaendelea kuchagua magamba!!
Nyie mtakua na matatizo,of all they have done to us,we rejected them!! Change ni sisi,chukua hatua.
 
huyu jamaa ana udhihirishia umma wa watanzania kua kweli kawehuka, bunge lipitishe sheria ya kupima watu akili maana hiki ni kioja

Ikipitishwa hiyo sheria waathirika wa kwanza watakuwa wabunge wa ccm! Lakini kwa akili yako utadhani ni wazima - in fact karibu wote wamepinda. KAMA WEWE TU!
 
Nadhani LEMA alitoa mfano tu, kuwa kufukuzwa ndani ya bunge sio issue sana, kwani atafukuzwa leo na kesho atarudi, mimi ndivyo nilivyomuelewa, pia aliongeza kuwa kuna watu walifungwa miaka 27(akimaanisha mandela) kwa ajili ya ukombozi hivyo yeye haoni ajabu kutolewa Bungeni....!
Lema nimemwona Arusha Jioni ya leo muda wa saa kumi na mbili hivi..sio rahisi awepo bungeni kesho.

Tatizo kaka upeo na uwelewa wa mambo,tume tofautiana sana ulichokiweka hapa ndicho alichokisema lakini kwa kuwa mdomo ni mali yao na hulipii kodi kila mtu ana haki ya kutapika atakavyo.mimi pia ndivyo nilivyo muelewa watu wasipindishe maneno
 
yatakuwa maajabu ya mwaka kufukuzwa na kurudi pasipo adhabu kuisha ngoja 2taona
 
Boss usinifanye nikujibu halafu watu waseme nina dharau.
Anyway na wewe unaweza kunituma tu, .... nikuwekee na Chilisosi kwenye chips zako?
Hahahaaaaaaaaa utakula majani usilete jeuri.,chadema hamna watumwa wala waganga njaa,naona tumbo limehamia kichwani
 
Back
Top Bottom