Godbless Lema: Kesho narudi bungeni!

Godbless Lema: Kesho narudi bungeni!

Spika maku sana,naibu ndo kabisaa,bunge linakosa heshima kwa kuongozwa na micharuko kama wale.
 
Wanajf,jana usiku nilipata nafasi ya kwenda kuangalia tarifa ya habari ya saa 2 usiku katika ukumbi wa chuo, wanafunzi walikua ni wengi sana na wnapenda sana kuanaglia tarifa ya habari ya ITV.

Nilishangazwa sana pale GODBLESS LEMA alivyo sema kesho narudi bungeni, ukumbi mzima ulisimama na kushangilia. Ndipo nilipo amini kuwa CHADEMA ni chaguo la MUNGU.

MUNGU ibariki TANZANIA, MUNGU ibariki CHADEMA.

Kuna watu wameumbwa kufurahisha,kupendwa,kusikilizwa na kufuatwa....Lema ni mojawapo...
Nakumbuka kipindi cha kesi ya Mbowe nilikuwa jijini Arusha nikawa naongea na Makada ambao tunafahamiana....mmoja alisema hivi na kuungwa mkono na wenzake
"Hili jamaa linakubalika kwa vijana...halafu mambo mambo yake tu yaani unajikuta unalikubali tu sio kwamba eti ana hoooja kivile" mwingine akadakia "umeona eeh"
 
Hata magazeti ya udaku Kiu, Ijumaa, Tanzania Daima, Uwazi, yanapendwa.
 

Attachments

  • chadema.JPG
    chadema.JPG
    32 KB · Views: 238
Ni wakweli, makini, wabunifu, na wanasoma mazingira, wanadata siyo porojo! Utaachache kuwapenda.

Wenye Akili wote wanawapenda hata kama si wanachama kama mimi.
 
Hata magazeti ya udaku Kiu, Ijumaa, Tanzania Daima, Uwazi, yanapendwa.

Jana naona nilikuchongea kwa bosi wenu pale Lumumba maana ulikuwa unawategea wenzako SUMU,M23 na chillsosi
 
udhalimu huu wa kikwete na mafisadi wa ccmutaaibishwa tu.
 
Tundu Lissu na wenzake walioomba utaratibu yaani "Point of Order" hawakuwa na kosa lolote kwani Kanuni ya Bunge ibara ay 65(1)(c) inasema hivi:

{Isipokuwa tu kwa idhini ya Spika, Mbunge yeyote hataruhusiwa kusema zaidi ya mara moja juu ya hoja, ila tu kama anasema kuhusu utaratibu}

Hivyo, Lema, Lissu na wenzake hawajavunja kanuni yoyote na anayepaswa kuwajibika ni Job Ndugai kwani video imeonyesha wazi kuwa amezuia point of order wakati hana mamlaka hayo.

baba wa watu alishajisemea heri ya Dr Slaa kuliko toto tundu ona sasa mateso haya najua Bi mkora pamoja na ulinzi debe lakini halali iko siku ataukana uspika maana hii na guantanamo tofauti haipo
 
Back
Top Bottom