Wewe ni shabiki mpuuzi. Kama ni bangi nusu ya wabunge wanavuta. Ni pamoja na wanaosema wenzao wanajamba bungeni. Wengine ni wale wanaotaka kuwatunga uzi wa nyuma wenzao tena kwa taratibu. Wengine ni wale wanaotumia the four letter word. Lakini wengine ni wale wanaodai kule mjengoni kuna watu wenye mimba zisizotarajiwa kana kwamba yeye ni mume au mkunga wao. Tena hao ni baadhi tu.bangi zinamsumbua tumewachoka badala kujadili shida za wananchi mmekalia kuonekana sifa za kishenzi,pumbafuuuu chadomo
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums