Babarita
JF-Expert Member
- Dec 14, 2011
- 388
- 126
Hapo ni nani anayevuta bangi??
yule aliyesema come on f*** you
Hapo ni nani anayevuta bangi??
ukivuta bang hata maramoja ni tatizo sasa hawa wameifanya bang kuwa ni chakula chao
Haki aiombwi inapiganiwa ukombozi umekaribia big up makamanda
Msemakweli hapa si maneno matupu mnayobwabwaja hapa bali ni pale octoba 2015 ndipo hasira za watanzania zitakapopelekwa kwenye masanduku ya kura. Hapo ninyi CCM mtaomba milima iwaangukie au ardhi ifunguke mkimbilie humo.Sifa binafsi wamachinga arusha shida kibao amekalia mwongozo wa spika
Wamewashika korodani mnatokwa povu, na bado.bangi zinamsumbua tumewachoka badala kujadili shida za wananchi mmekalia kuonekana sifa za kishenzi,pumbafuuuu chadomo
Duh hawa jamaa sijui wanaipeleka wapi nchi yetu ni siasa za bangi namna hii.
alichosema lema ni kuwa hizo siku tano ni sawa na siku moja, maana alisema kuna watu waliwahi kufungwa miaka 27 jela!Nimemsikia Mbunge lema kupitia taarifa ya habari ya ITV ya saa 2 usiku huu akisema kuwa kesho anarudi bungeni licha ya amri ya naibu spika kuwazuia kuingia bungen kwa siku 5.
Mbunge Lema alikuwa akihojiwa na ITV sambamba na wabunge wengine waliosimamishwa kuhudhuria vikao vya bunge.Mmoja wao alikuwa mh.Tundu Lissu aliesema hakuna kanuni ya bunge inayoweka ukomo wa mtu kuomba utaratibu na kwamba maamuzi ya naibu spika hayakuwa sahihi.Wengi wao waliohojiwa wamelaumu uamuzi huo.
Binafsi nashindwa kuamini nilichokisika labda kama nimesikia vibaya maana najiuliza kama hizo kanuni za bunge zitamruhusu kweli kurudi bungeni?
Kwakweli wabunge wa CHADEMA wananyanyaswa sana na kiti cha spika!
Makamanda vumilieni kwani msitarajie ushindi rahisi bila watu kupita katika kipindi kigumu.
Hata hivyo,naibu spika anapaswa kutafakari athari za kukosa michango ya wabunge hao ndani ya bunge kwa siku hizo 5.Maamuzi haya ya jaziba hayana tija kwa watanzania badala yake ni hasara kwa Taifa.
Duh hawa jamaa sijui wanaipeleka wapi nchi yetu ni siasa za bangi namna hii.
kama ilivyo kwa maccm, ni ufisadi na kutafuta vihoja vya kutongozea kura mwaka 2015. Ccm ni janga la taifa!bangi zinamsumbua tumewachoka badala kujadili shida za wananchi mmekalia kuonekana sifa za kishenzi,pumbafuuuu chadomo
bangi zinamsumbua tumewachoka badala kujadili shida za wananchi mmekalia kuonekana sifa za kishenzi,pumbafuuuu chadomo
Duh hawa jamaa sijui wanaipeleka wapi nchi yetu ni siasa za bangi namna hii.
UNAWEZA UKAWA SAHIHI SANA... lakini ki-staarabu inaonyesha wazi jinsi wabunge wa CDM walivyo wakorofi kwa kupania INTENTIONALLY kuvuruga mchango wa NCHEMBA. mbona mnyika,lema na lissu walitoa michango yao(tena yenye kejeli na matusi) lakini wabunge wa CCM walivumilia mpaka wakamaliza michango yao!!!???Tundu Lissu na wenzake walioomba utaratibu yaani "Point of Order" hawakuwa na kosa lolote kwani Kanuni ya Bunge ibara ay 65(1)(c) inasema hivi:
{Isipokuwa tu kwa idhini ya Spika, Mbunge yeyote hataruhusiwa kusema zaidi ya mara moja juu ya hoja, ila tu kama anasema kuhusu utaratibu}
Hivyo, Lema, Lissu na wenzake hawajavunja kanuni yoyote na anayepaswa kuwajibika ni Job Ndugai kwani video imeonyesha wazi kuwa amezuia point of order wakati hana mamlaka hayo.
Vipi mbona Lema hajatinga mjengoni? Kama alivyoahidi jana mwenye taarifa tafadhali atujuze