Kagolo
Member
- Apr 16, 2013
- 72
- 25
MaCCM watakulaani ukichoma hii kitu wao wavitafuta ili waitishe mikutano na vyombo vya Habari wafanyie (SHOW)Mkuu haya ni mabaki ya chadema, nilikuwa nasafisha ofisi leo nikaukuta huu uchafu.
Nimechoma moto nitakuletea picha hapa zikiungua kwa sababu zinasababisha uchafuzi wa mzingira