Godbless Lema katika kashfa ya kuiua CHADEMA Arusha

Godbless Lema katika kashfa ya kuiua CHADEMA Arusha

Inasikitisha sana wakazi wa Arusha tegemeo lao ni Lema. Hana sifa yoyote ya kuwa kiongozi.
 
mkuu,
Dr. Kitila anahusishwa na watu fulani humu kama na yeye ni kundi la 'masalia' kutokana na swala la madiwani Arusha. Haitakuwa vizuri kwake yeye kwenda kuchunguza kwa sababu kuna uwezekano hicho kikundi kikapiga kelele na kusema 'kesi ya mbuzi amepelekewa fisi'.

Labda Tablet ya Mheshimiwa Godbless Lema ni mbovu ndiyo maana hajatokea kutolewa ufafanusi kama afanyavyo kila mara kuhusu hii barua na viongozi wengine waandamizi bado wana hangover ya vikao vya chama.



Katika maswala ya uangalizi wa pesa, lazima kuwepo transaction na report ya maandishi kuhusu mapato na matumizi. Tunafahamu jf siyo mahali ya kuonyesha mtiririko wa each transaction lakini kwa vile Chama kinasimama katika dhana ya uwazi katika utendaji na kina viongozi waandamizi katika mitandao, basi wangetolea ufafanuzi kwa hili.

WASWAHILI WANASEMA, KIMYA KINGI KINA KISHINDO.

Maumivu yameisha? chezea CDM weye"
 
njaa @ work - hadi 2015 tutasikia mengi tuwe na subira.
 
Huo ni unfki wa waz waz, inaelekea kurudishiwa ubunge imekuuma eeh! peleka huko umbeya wako kwanza ww hata arusha huijuh!!!!
 
kwa wasio muelewa lema wanaweza kuipinga hoja hii lakini kiualisia lema hafai kuwa kiongozi, nilishawahi kujiuliza lile gari lilikwenda wapi ila sikupata jibu nashukuru leo nimelipata by the way kama unavyosema ni dictator inawezekana mimi binafsi niliuchukia uwongonzi wake tulipokuwa tabora wakati wa uchaguzi mdogo alituchukua kwenye gari lake saa 8 usiku akatuamuru tumfate hatukubisha alitupeleka umbali wa km 30 kwenye kituo cha kupigia kura kama unavojua mazingira ya Tabora ni porini hakuna huduma yoyote ya muhimu akatuamuru tulinde yeye arudi lodge akalale eti ccm wasije kuleta kura batili.tunamshukuru mungu wote tulikuwa ni watu wenye akili timamu tukapingana na mawazo yake batili yakiuuwaji na udhalilishaji by the way inshort hatufai wana ARUSHA MORE INF 0718171545
Mkuu Kakado,unasema Lema hafai kuwa kiongozi!!!hapo arusha alipataje ubunge??au aliteuliwa??fika mahali embe iitwe embe na chungwa liitwe chungwa lakini kuita chungwa embe si sawa.wadhani JK anafaa kuitwa kiongozi??amepelekewa majina na ushahidi wa wala rushwa na wauza madawa ya kulevya amechukuwa hatua yoyote??AU NITAJIE mtu mwenye madaraka ya juu iwe ccm na serikali yake anaefaa kuitwa kiongozi nyumba yako inaungua unainyooshea kidole nyumba ya mwenzio.
 
jambo linalosikitisha ni baadhi kutoka kwenye mada kuu.

Nani kasema chadema si chama makini.

Waraka uko wazi na unahitaji majibu
 
Hivi Mungi sanity yako iko integral kweli?
Mtu kaiandika barua ofisi ya mäkao makuu ya chama na barua yenyewe iko hapa, halafu unauliza amechukua hatua gani? Au ulitaka apigane makonde kama anavyofanya Lema?
Barua inajieleza wazi kwamba ukorofi wa Lema umeshindikana kushughulikiwa na ngazi zote walayani na mkoani ndio maana wamepeleka swala hili kwa kamati kuu.
Lete hati ya kiwanja cha kujenga hospitali tuone jina la mmiliki...

sawa amepeleka makao makuu, ninachouliza ni kwamba alipewa majibu gani makao makuu.
Hii barua haijafika makao makuu, ni uharo tu kaamua kuharishia humu!
suppose nami naandika barua eti kwa rais, hakuna verification yoyote inayotjibitisha hii barua imekuwa submitted ikulu, afu nakuja kupost humu ndo tuanze kupoteza muda kujadili ushenzi
 
Mkuu Kakado,unasema Lema hafai kuwa kiongozi!!!hapo arusha alipataje ubunge??au aliteuliwa??fika mahali embe iitwe embe na chungwa liitwe chungwa lakini kuita chungwa embe si sawa.wadhani JK anafaa kuitwa kiongozi??amepelekewa majina na ushahidi wa wala rushwa na wauza madawa ya kulevya amechukuwa hatua yoyote??AU NITAJIE mtu mwenye madaraka ya juu iwe ccm na serikali yake anaefaa kuitwa kiongozi nyumba yako inaungua unainyooshea kidole nyumba ya mwenzio.

Hakuna haja ya kusema LEMA hafai kuwa kiongozi bali ana kashfa hizo ndani ya waraka Je anafaa kuendelea kuaminiwa kama hatatupa majibu?
 
A time wil tell.Mbona hawa si wakwenda nao haraka,taratibu kila mmoja atawekwa wazi kwa uchafu wake.Hapa nasubiria document zinifikie muda wowote kutoka makao makuu ya chama za uozo wa CHADEMA COLLEGE pale KIBAHA.Pesa zilishatoka,Katibu mkuu akaelekeza tumboni kwake

taasisi yenu imeshasambaratika hakuna document zozote!
poor Mtela Mwampamba,
poor Juliana Shonza
poor Zitto
poor TUNTEMEKE
 
Last edited by a moderator:
Nimeona kuna kila dalili za majeruhi wa uchaguzi 2010,ubunge wa lema na uwezo wake wa kusimamia maadili ndio tatizo.
 
mama porojo usiwe mfuasi (mtu asiye jitambua) izi tuhuma hajasingiziwa it is fact usitetee uovu lema hatufai wana arusha
 
Hakuna haja ya kusema LEMA hafai kuwa kiongozi bali ana kashfa hizo ndani ya waraka Je anafaa kuendelea kuaminiwa kama hatatupa majibu?

Hakuna kashfa hapo!
Mmeanzisha vioja vya ajabu hata hamjajiandaa poor you
 
Hawa wanaosimamia ArDF ndio beneficiaries wa huo ufisadi, unategemea waseme nini? Kama chadema iko serious imtume Kitila akafanye uchunguzi huru Arusha juu ya hizi tuhuma.

Kwanza tumia akili ndogo tu, Development foundation gani haina ripoti ya mwaka? Anachotakiwa kufanya ni kuleta ripoti ya mwaka ya mapato na matumizi pamoja na majina na anuani za walionufaika na ArDF.

ailete kwa baba na mama yako au JF?..za ccm huwa mnaleta
 
Hakuna haja ya kusema LEMA hafai kuwa kiongozi bali ana kashfa hizo ndani ya waraka Je anafaa kuendelea kuaminiwa kama hatatupa majibu?

anafaa kuaminiwa hizo tuhuma za kupikwa barua imejaa majungu
 
Naona Mods wamechoka kufunika madudu ya lema manake kila kukicha yanaanikwa hapa. wamefuta thread za kubaka weeee mpaka wamechoka
jamaa asijejidanganya kupanda ndege kwenda EUROPE
ARREST WARRANT IMEISHATOLEWA AKIONEKANA NCHI YOYOTE EUROPE LEMA AMEKWISHA
 
maisha ya wana arusha ayako kwenye akili ya manadamu tuli mcha gua lema kwa nguvu za mungu kwa usemi wa sauti ya wengi ni sauti ya mungu na mungu alie tupa lema ata tuonyesha mbivu na mbichi mli mvua ubunge mka zani mli mpa nyie ubunge na mungu alie mpa ubunge aka mludishia ubunge sasa endeleeni nakazi za kishetani mki fikilia tumbo leo na kuacha kufikiri kesho :A S soccer: mpira wana upiga wengi gori ana funga mmoja
 
Tuwekee hati ya kiwanja hapa ili kuondoa utata simple as that watu waone jina la kiwanja na hata ikibidi weka michoro kwani kuna siri gani hapa?
huu ndiyo ujinga wa CCM tuhuma mlete nyie halafu ushahi tulete chadema...
 
Back
Top Bottom