Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 59,043
- 103,476
Hapo ndio mjue jinsi chadema ina viongozi hovyo kabisa hivi hawa nfio wa kuwapa nchi
Kama Magufuli aliweza kupewa nchi wakati hana hata busara ya nusu ya aliyonayo Lema, nani atashindwa kuongoza nchi hii kwa kukosa busara? Alichokuwa anafanya Ndugai bungeni na akaweza kuendelea kuwa spika, inawezekana vipi busara ikawa kigezo cha mtu kama Lema kukosa uongozi? Tukubali tu kuwa hapa nchini kwetu busara sio kigezo cha kuwa kiongozi, bali sifa nyingine kabisa.