Godbless Lema: Bashiru alitaka kunilipia deni nihamie CCM

Wanasiasa sio watu .
Hebu fikiria yeye na wenzake walitaja orodha ya aibu( list of shame) wakimtaja eti Lowasa alikiwa fisadi.
Swali ,ilikuwaje wakampa kuwa mgombea urais tena?
Hawa wanacheza na mindset za watu ni kama wachungaji wanaua watu kwa kuwaaminisha wanaenda mbingu lkn wao hawafi waende kwanza.
Nitamuamini akithibitisha kwa vithibiti pasipo shaka.
Alikuwa miongoni mwa niliowaamini lkn baadae nikajua sio wa kuaminika tena
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom