Dk.Slaa lipa deni hili la CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dk.Slaa lipa deni hili la CHADEMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TUNTEMEKE, Aug 8, 2012.

 1. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #1
  Aug 8, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Wana Jf sio kwamba nawaondolea imani na Dr.slaa ndani ya chama,bali huu ni ukweli kabisa kwamba Dr.slaa anadaiwa na chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kiasi cha tsh.Million 140 ambazo hazifahamiki zitarudishwaje hadi hii leo.

  Mchanganuo wa deni hili ni kama ifuatavyo...

  1.Dr.slaa alikopa fedha kiasi cha tsh.Million 80 kwaajili ya kumalizia malipo ya deni la nyumba ya NSSF aliyokopeshwa maeneo ya bunju....Fedha hizi zilikopeshwa tangu mwaka juzi.Ilihali nyumba ile ya bunju na Karatu zilizojengwa na Dr.slaa zinamilikiwa na Bi.Josephine Mshumbusi hii nikwamujibu wa hati ya nyumba kama inavyosomeka kwenye wamiliki wa nyumba za NSSF .

  2.Pili alichukua pesa million 40 za chama zilizotengwa kwaajili ya uchaguzi mwaka 2015 fedha hizo ni zile zilizokuwa zikichangiwa na wabunge wa chadema kila mwezi kama walivyokubalina na kamati kuu mapema baada ya uchaguzi(kwenye kikao cha evaluation ya uchaguzi mwaka 2010).sakata hili limepelekea baadhi ya wabunge kugoma kuendelea kuchangia mfuko wa chama na hivi majuzi huko bungeni dodoma kwenye vikao vya chama vya ndani wabunge walisimamia kidete swala hili la kumtaka Dr.slaa alipe deni hilo ili arejeshe imani kwa wabunge kuendelea kuchangia.

  Fedha hizo, Dr.slaa alizielekeza kwenda kununulia samani za ndani za nyumbani kwake.Fedha hizi hazikupitia taratibu halali za kukopeshwa kwa sababu alijikopesha ruzuku ya chama (kitu ambacho ni illigeal kwenye katiba ya chama ruzuku)

  4.Mnamo Tar:20 mwezi wa 1 mwaka huu Dr.slaa alifika makao makuu na kuomba kukopeshwa kiasi cha tsh.Million 20 za haraka huku akiwa ameambatana na Josephine mshumbusi.Aliwalazimu wahazini kwenda kuchota fedha kwenye account ya chama siku hiyohiyofedha zile alikabidhiwa Josephine mshumbusi ambaye alizichenji kwenda dola na kuziingiza kwenye account yake(jina tunalihifadhi la account)

  SAKATA HILI LA DENI LA DR.SLAA limechukua sula tofauti kabisa kwa mwenyekiti wa chama Mh.Freeman Aikael Mbowe ambaye amemtaka Dr.slaa kurejeshaa deni hilo mapema iwezekanavyo..kwa sababu deni hilo limeshaanza kuwagawa wabunge ndani ya chama.Kwa hatua za awali Mwenyekiti wa chama ameamua kukabidhi madaraka ya mapato na matumizi kwa Lema ilikuajaribu kukinusuru chama.

  NASISITIZA HII LEO TAR.8/8/2012 WABUNGE WA CHADEMA BAADHI WAMEGOMA KWENDA KWENYE MKUTANO WALEO UNAOFANYIKA MAENEO YA IFAKARA SABABBU IKIWA NI HII HII YA KUIBIWA FEDHA ZAO

  IKUMBUKWE WAZI KWAMBA FEDHA ZOTE ANAZO DAIWA DR.SLAA HAZIKUPITIA UTARATIBU HUSIKA WA CHAMA WA KUKOPESHA WAFANYAKAZI WAKE, NI MWAVULI WA UKATIBU MKUU NDIO ULIOPELEKEA KUCHUKUA MAAMUZI YA KUWAFORCE KURUGENZI YA FEDHA KUMKOPESHA FEDHA HIZO.Barua ya kuwafukuza wafanyakaiz kadhaa wanaompinga ndnai ya chama ipo na inascaniwa iletwe hapa,

  NAOMBA KAMA DR.SLAA ANAKANA UKWELI HUU AJE HAPA APINGE,USHAHIDI TUNAO.

  Jf jukwa huru la kujadili mambo yote sio ya ccm,cuf na TLP tu bali hata ya chadema ni muhimu kuyajadili katika usawa.
   
 2. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #2
  Aug 8, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Tuntemeke is back tulimiss mambo mazuri na asante kwa kutufungua macho.
   
 3. maria pia

  maria pia JF-Expert Member

  #3
  Aug 8, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 516
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  umetumwa ww,hizo ni propaganda za magamba hauna jipya
   
 4. Mwiyuzi

  Mwiyuzi JF-Expert Member

  #4
  Aug 8, 2012
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 861
  Likes Received: 304
  Trophy Points: 80
  kwa hiyo unataka tujadili nini sasa?
   
 5. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #5
  Aug 8, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Mkuu wangu TUNTEMEKE edit hapo kwenye Sh140 halafu twende sawa Kamada wa ukweli.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. N

  Ndole JF-Expert Member

  #6
  Aug 8, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 352
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hebu endelea kutuletea habari mkuu. Sisi tunakutegemea sana kwa taarifa motomoto toka CDM.
   
 7. salito

  salito JF-Expert Member

  #7
  Aug 8, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,365
  Likes Received: 352
  Trophy Points: 180
  Haya ndugu asante kwa kutujuza ya nyuma ya pazia,ngoja waje chadema nao watueleze
   
 8. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #8
  Aug 8, 2012
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 5,984
  Likes Received: 20,377
  Trophy Points: 280
  Aisee, kila ukilala ukiamka, suala ni cdm na Dr Slaa, duh, kazi unayo mdau
   
 9. salito

  salito JF-Expert Member

  #9
  Aug 8, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,365
  Likes Received: 352
  Trophy Points: 180
  Kiongozi maneno makali haya..
   
 10. b

  binbinai Member

  #10
  Aug 8, 2012
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 55
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Acha majungu wewe !!!!!!!!!mwanzisha thready wakati tunawaza kusonga mbele kumwondoa mkoloni ccm wewe unaleta jungu ni nani aliyekutuma kupeleleza wadaiwa wa chadema. Kumbuka kila mtu ana haki ya kukopa kokote anakokujua.
  Wewe ulitaka akope CCM?Achaaaaaaaaaaaa usimchafue Raisi tunayemsubiri kuwapisha 2016.JE WEWE UNAONA 140M NI PESA NYINGI KUANDIKA HAPA WAKATI CHENGE ANAITA 1B KUWA VIJISENTI??????????????
   
 11. cjilo

  cjilo JF-Expert Member

  #11
  Aug 8, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 60
  Mwanzoni nilianza kukuamini lakini hapo kwenye red umearibu kabisa, kwa nini hukusubiri u-scan kabisa ndo uje uanzishe uzi? Kwani kwenye mikutano ya chadema huwa wanafika wabunge wake wote, wajangwani nilikuwepo natse, shibuda, kasumbai, kahigi na wengine wengi hawakuwepo, unasemaje hapo au ndo walishaanza kususia?

  Uzuri ni kuwa tumeshakujua hautusumbui, Tuna mambo mengi yakufanya kwa sasa, Tunahangaika na CCM tu sio na wewe, Dr. asije kujibu haya majungu yako na akija ntamshangaa
   
 12. cjilo

  cjilo JF-Expert Member

  #12
  Aug 8, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 60

  Hata mimi naweza kuandika zaidi ya yeye alivyoandika ila kama sina ushahidi kama yeye ni kazi bure kabisa, anaishia tu ushahidi upo upo, uko wapi? Angekuwa nao si ccm wangejidai sna na hii kashfa....hata effect hata kwa 0.00000ooo1% katika kuharibu operesheni sangara, kwani hata mkuu wa polisi Morogoro alishindwa kuiharibu, alifanikiwa kuichelewesha tu lakini sio kuiharibu sembuse yeye? Ifike muda mods kama habari ya umbea haina ushahidi huyo mtu apigwe ban maana anapotosha umma
   
 13. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #13
  Aug 8, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  We nia yako si Dr Slaa na CDM ife!?!

  Akirudisha si CDM itaendelea kuwa mwiba mkali??!Sasa mbona unaitakia mema CDM kwa kumtaka Dr Slaa arudishe hela??
   
 14. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #14
  Aug 8, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,959
  Likes Received: 1,284
  Trophy Points: 280
  Beta ze devil you know than ze Angel yu dont know!
   
 15. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #15
  Aug 8, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  kwa hio tuntemeke unamaanisha first lady anamiliki mijengo yote miwili na mzee hana kitu!basi kazi kwelikweli chezea mtoto wa kihaya wewe aaaaaaaaa katelelo ni nomaaaaaaa..............
   
 16. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #16
  Aug 8, 2012
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  NASISITIZA HII LEO TAR.8/8/2012 WABUNGE WA CHADEMA BAADHI WAMEGOMA KWENDA KWENYE MKUTANO WALEO UNAOFANYIKA MAENEO YA IFAKARA SABABBU IKIWA NI HII HII YA KUIBIWA FEDHA ZAO

  Chambio unatumika mara nyingine bila aibu. Utakapo tupwa na wanaokuchambia usisite kutuambia

  IKUMBUKWE WAZI KWAMBA FEDHA ZOTE ANAZO DAIWA DR.SLAA HAZIKUPITIA UTARATIBU HUSIKA WA CHAMA WA KUKOPESHA WAFANYAKAZI WAKE, NI MWAVULI WA UKATIBU MKUU NDIO ULIOPELEKEA KUCHUKUA MAAMUZI YA KUWAFORCE KURUGENZI YA FEDHA KUMKOPESHA FEDHA HIZO.Barua ya kuwafukuza wafanyakaiz kadhaa wanaompinga ndnai ya chama ipo na inascaniwa iletwe hapa,

  Ilete tu lakini huwezi affect taratibu za chama ambazo wewe toka kwenu ulikotoka hukufundwa kuheshimu taratibu za aina zo zote zinazohusu mahusiano ya kijamii hata ya kifamilia kwa sababu ya kuchumia tumbo.

  NAOMBA KAMA DR.SLAA ANAKANA UKWELI HUU AJE HAPA APINGE,USHAHIDI TUNAO.

  Unamuomba mtu kwa jina lake wakati wewe hilo siyo jina lako, jitambulishe kwa jina lako halafu wasiliana na Dr. Slaa. Mantiki ya kutuletea hapa haikupi jibu unalotaka zaidi ya mshiko kwa wanaokutumia

  Jf jukwa huru la kujadili mambo yote sio ya ccm,cuf na TLP tu bali hata ya chadema ni muhimu kuyajadili katika usawa

  Kwa ufinyu wa fikra zako ni sawa uelewa wako kuwa JF kunajadiliwa ""mambo" hasa ya watu" tofauti na wengine wanaojadili "masuala hususan ya nchi"

  Nimechangia kwa sababu tu unakera
   
 17. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #17
  Aug 8, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,629
  Likes Received: 9,842
  Trophy Points: 280
  presha inapanda presha inashuka..
  mwaka huu CCM mtakuja na mambo mengi sana ila M4C na SLAA kwenu ni mwiba sana....
   
 18. maria pia

  maria pia JF-Expert Member

  #18
  Aug 8, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 516
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Haswaaa tena muda wa m4c huu,kuwapa elim raia
   
 19. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #19
  Aug 8, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kumbe shida yako ni Slaa aje hapa apinge upuuzi wako? Unadhani Slaa ni mtu wa kuzungumza na kichwa maji kama wewe! Kafie mbele huko!

  TUMBIRI (Upanga, Dar es Salaam - Tanzania),

  tumbiri@jamiiforums.com
   
 20. mito

  mito JF-Expert Member

  #20
  Aug 8, 2012
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 7,646
  Likes Received: 2,033
  Trophy Points: 280
  Mi ndo maana huwa nasema ccm wakiacha makundi wakamsimamisha mtu anayeuzika (mfano Magufuli) watachukua nchi tena 2015. Lakini hawa wapinzani mmmh........niliwahi kusema wapinzani bado hawani-convince, watu wakanipotezea!
   
Loading...