wasije wakachakachua hizo number........mitandao yote ni yaoTunaomba kiongozi wa CDM aweke hadharani namba ya m-pesa au tigo hewani ambayo watu tutachangia ukombozi wa pili! Tafadhari weka haraka watu tuna hasira!
Mkuu,Wakuu tunawashukuru sana kwa mioyo yenu ya kujitolea kuchangia harakati za ukombozi,namba ya mpesa ni 0758 003 509,na tigopesa ni 0655 788 333
Mungu awabariki sana
Nanyaro Ephata
Mwenyekiti CHADEMA wilaya ya Arusha mjini
Du,Wakuu namba hizi hapa.......
MPESA
0757 755 333
0763 744 334
0763 766 333
0758 003 509
AIRTEL PESA
0684 424 229
0684 424 144
0684 425 222
TIGO PESA
0655 788 333
0718 611 168
0718 611 126
Namba zote zimesajiliwa kwa jina la "CHADEMA ARUSHA.
source.......https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/232511-changia-chadema.html
Mkuu,
hAKIKISHA unawatumia PM hao jamaa wa hapo juu maana wanaweza wasione post yako!
Kuweni efficient na mtandao bana...huku ndio mambo yote yanakopikwa!
Du,
Mama la BAVICHA, ....sioni LIKE kwenye post yako aisee!
Unatisha mtu wangu!...hupitwi!
mkuu PJ
Mama BAVICHA yupo sahihi sana
Sisi watu wa pwani kazi yetu kubwa inayotuweka mjini ni KUPARA-MIWA
Mkuu usitake kutuudhi wakati watu bado tuna hasira utasababisha wenyewe kwa wenyewe tusababishiane ban, CHADEMA haina kitu kinachoitwa BAVICHA, naitambuwa UWT tu ya CCM ndio iko active, hawa Bavicha ni takataka tu, lakini simaanishi Preta.Du,
Mama la BAVICHA, ....sioni LIKE kwenye post yako aisee!
Unatisha mtu wangu!...hupitwi!
Du,
Mama la BAVICHA, ....sioni LIKE kwenye post yako aisee!
Unatisha mtu wangu!...hupitwi!
Wakuu namba hizi hapa.......
MPESA
0757 755 333
0763 744 334
0763 766 333
0758 003 509
AIRTEL PESA
0684 424 229
0684 424 144
0684 425 222
TIGO PESA
0655 788 333
0718 611 168
0718 611 126
Namba zote zimesajiliwa kwa jina la "CHADEMA ARUSHA.
source.......https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/232511-changia-chadema.html
πeace:πeace:πeace:πeace:πeace:πeace:πeace:πeace:πeace:πeace:πeace:πeace:πeace:πeace:Mkuu usitake kutuudhi wakati watu bado tuna hasira utasababisha wenyewe kwa wenyewe tusababishiane ban, CHADEMA haina kitu kinachoitwa BAVICHA, naitambuwa UWT tu ya CCM ndio iko active, hawa Bavicha ni takataka tu, lakini simaanishi Preta.