Godbless Lema avuliwa ubunge

Status
Not open for further replies.
Watang'atuka watu wooooote, lakini kamwe mroho wa madaraka, bitozi la Ki-kwe-re kamwe hawezi kujiuzulu, hata nchi nzima ikifa
 
Naona Wazee wa "Kura za Vijijini" Wamerejea Jamvini kwa Nguvu baada ya Kupotezwa 02/04/2012
 

Ukiwa mwanasisiem utapata hukumu ya hapa duniani na mbinguni.
 
Sisi watu wa pwani kazi yetu kubwa inayotuweka mjini ni KUPARA-MIWA na kuhudhuria hitima bila kusahau ndizi,chachandu na pilipili kwenye kikopo
 
Kama mtoto hajakutendea haki, kwa baba yake utaenda kutafuta nini?

Naomba uchaguzi mdogo, kabla morale haijashuka.
 
Chadema siku wakichukuwa nchi mahakama zote zitakuwa chini ya Chadema...hukumu ipo wazi kweli Lema alikuwa anatoa kauli za kashfa kwenye mikutano yake 8 kati ya 60 aliyofanya.
 
ccm nao wawe na tabia ya kutoingiza siasa kwenye vyombo vya sheria
 
tuna safari ndefu ya kuendelea, kama tunaendekeza chaguzi tu kila siku pasipo kuwaza maendeleo, mahakama zetu zina watu hovyo wasiojali wala kuthamini kodi za wavuja jasho wa Tanzania. wangetoa adhabu nyingine mbadala
 

mkuu maoni yako yamekaa kama umetumwa na yamejaa unafiki wa aina yake
 
Chadema siku wakichukuwa nchi mahakama zote zitakuwa chini ya Chadema...hukumu ipo wazi kweli Lema alikuwa anatoa kauli za kashfa kwenye mikutano yake 8 kati ya 60 aliyofanya.

kwani sasa mahakama iko chini ya chama gani? Na unategemea kama iko chini ya chama hicho kilichoangukia pua wangetoa uamuzi gani? Afu inaonyesha jibu unalo sema kiburi ndo kinakufanya ujifanye hauelewi
 
...hatuna muda wa kupoteza ktk hizo mahakama zenu za CCM,mahakama tunayoiami ni UMMA na huko ndo tunaenda kukata rufaa yetu...Nape kabla ya hii hukum ya kishenzi alikuwa ameishasema kabisa mapema kuwa CCM mnajianda kwa uchaguzi kwan mnajua kabisa Lema atashindwa kesi,sasa wewe unakuja na unafiki wako eti unatushauri CDM twende kwenye mahakama ambazo hukumu zake Nape tayari anazo?...tuondole uchafu wako huu,peleka porojo zako kwa-waywa-kahawa wenzako huko vijiweni...
 
Pamoja na ukali wa maisha ya kupiga boksi, nimeamua kumchangia Mheshimiwa Lema $ 300 ili ziweze kumsaidia katika kampeni. Ni matumaini yangu CHADEMA watatumia uchaguzi huu kutuma ujumbe kwa serikali ya hii ya JK ya kuwa haki ya mtu haiwezi kupotea bali yaweza cheleweshwa tuu. Jamani wananchi, tutoe michango kwa Mheshimiwa ili aweze kukimalizia hiki kichwa cha huyu nyoka (CCM).

Kwa wale wanaojua ya kuwa hiyo hela naweza kuituma wapi ningefurahi kama wangeniibox.
 
Siyoi has a super super job that pays him handsomely... Acheni *****

huyu jamaa ni mwanasheria wa stanbic, ugomvi wangu mi ni kwa mtoto wa sokoine kwa nini mnamsema vibaya? pale kwa kweli niagombana na baadhi ya watu hebu we mwenyewe tizama hi pic afu useme ushezi wa huyu binti uko wapi?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…