hayo ni maneno ya losers...
CDM inatia huruma sana, juz tu mmeshangilia kuongeza mbunge, leo tena mnaomboleza kumpoteza mwingine!!!Ama kweli ng'ombe wa maskini hazai!!
Kama watu wakiielewa kauli hii wala hakuna shida kabisa kuizika CCM, mimi nawasubili jimbo la Segerea, halafu hivi Majaji kama hawa hawalogeki hata kwa majini?.....nina babu yangu ana majini ya kutosha kabisa!!nchi ipo kwenye transition. pambana.
Ndio maana alikua anampigia shavu nassari kwasababu alikua najua ashapotea na atavuliwa ubunge hata iweje ,sasa bwana mdogo anaingia mjengoni yeye kapigwa benchi na watu wake aliowaleta arumeru wote kushnehi CCM ndio malegendary na watachukua Arusha mjini na baadae tutarudi arumeru..
Ccm oyeeeeeeee ,jimbo linarudi mikononi mwetu sasa
Mhhhhhhh kwa hyo pesa zingine tena zinaenda kuchezewa tena ?? au hakutakuwa na kampeni tena?? Hivi kweli tutafika kwa mtindo huu??
Kama watu wakiielewa kauli hii wala hakuna shida kabisa kuizika CCM, mimi nawasubili jimbo la Segerea, halafu hivi Majaji kama hawa hawalogeki hata kwa majini?.....nina babu yangu ana majini ya kutosha kabisa!!