yap kwa mujibu wa mahakama anaruhusiwa kugombea tena na amesema hatakata rufaa wakutane tena ulingoni...source magic fm
Kudadeki! Huyo lema asahau kabisa kiti hicho.... Arudi kwenye fani yake ya awali.
hahaaha....pole, naona umekuwa mpoleee!Nguvu ya Lowassa kwenye Dola ni kubwa ila nguvu ya wananchi ni sauti ya Mungu
hili nalo nenoWakati wakenya wanajenga bandari na kuchimba mafuta, viongozi wetu wanapigania kurudia uchaguzi!
Ningekuwa ni mshauri wa CCM nisingewashauri wafanye kosa hili, Mweleka watakaopigwa Arusha Mjini utawafanya mpaka vipofu waanze kuona na viziwi watasikia kwaba CCM sasa Bye Bye. hili ni kosa kubwa sana la kikamkakati wamelifanya CCM. Watalijutia hili.Yaelekea kimekuuma sana,,,,,pole sana, tunataka Tanzania inayoendeshwa kwa misingi mizuri. Kwa personal attack aliyoifanya Lema dhidi ya mpinzani wake hakustahili kabisa kuliwakilisha jimbo lenye hadhi kama Arusha mjini bungeni
Pole sana Mkuu. Siasa kazi mkuu. Juzi umefurahi leo unazinguliwaMimi naona niachane na mambo siasa. Siasa itasababisha mauti yangu, siku marehemu Regia alipochakachuliwa live mchana kweupe, roho iliniuma cna kipomo!..then akaja akafa, sikuambii! Haya tena leo, cku yangu ishaaribika,na wiki yote hii cwezi kurudi ktk hali yangu ya kawaida! Mi naona niachane na siasa. Kwanini nipate shida, taabu, kwa mambo siyo yangu? Kuanzia sasa,jukwaa la siasa basi!