1800
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 2,215
- 603
yap kwa mujibu wa mahakama anaruhusiwa kugombea tena na amesema hatakata rufaa wakutane tena ulingoni...source magic fm
Ndio dawa yao,yaani hawa jamaha hata hawatumii akili,wao target yao ilikua Lema akate rufaa ili jimbo liwe wazi mpaka 2015,kumbe wanavyowaza wao na jaji wao Lema alishaona mapema,c.c.m ni chama cha ajabu sana,eti kesi hukumu ilishajulikana toka wiki zilizopita!what a shame!mahakama ni muhimili unaojitegemea kweli?au unapelekwa kwa matakwa ya watu kwa baadh ya kesi?hata kesi ya Zombe hukumu haikuvuja mitaani kama hii ya Lema!haya tunamtaka na baba Mwanaasha nae aje jukwaani wakati wa kampeni!c.c.m hamtakiwi lazima mjue ilo,na mkiforce mtapelekea nchi pabaya na mwishowe mtakuja kujikuta wengi wenu mko behind bars