Kuvuliwa kwa Lema kuna maana hizi;
Kwanza, CCM wanataka kupima kama mbinu za kifedha, uwizi wa kura, vitisho vya magari ya FFU na Polisi zaweza kufanaya for 5 years more.
Pili, CHADEMA wanapewa nafasi ya kupima nguvu ya CCM na uwezekano wa kushinda 2015 majimbo zaidi
Tatu, Umaarufu wa CHADEMA unaongezeka kwa sababu badala ya serikali kutumia fedha nyingi kuhudumia watu na wananchi wanaka muda mwingi kuelekeza fedha kwenye kampeni za siasa.
Nne, Lema na wengine wasiotumia meneno yenye staha na zinazoweza kuhesabiwa kama ni defamation wasirudie iliwasiwape nafasi CCM na maadui wao nafasi ya kuwapotezea muda mwingi.
NAWASILISHA