mvunjamiwa
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 453
- 117
Nilisikia kama Hakimu alipewa kitita cha kutosha ili kutoa hukumu ya aina hiyo. Tatizo la mahakimu na polisi wetu huwa hawaoni aibu hata kidogo kupindisha sheria ilimradi waweze kulinda maslahi ya CCM. Sasa mtashangaa hukumu ya jimbo la segerea hapo Miltoni mahanga atakapoonekana hana hatia.
Kuna jamaa ananiambia kumetengwa bilioni 1o kwaajili ya jimbo hili, ili cdm izikwe!Kama ni kweli haki imetendeka mi sina shida, ila kama ni mchezo mchafu itakua Ngumu Lema kurudi maana lazima huu mchakato una plan A, B and C kwa hiyo CDM wajipange nao kua na plan A , B na C la sivyo itabki kua historia tu
Wana jf lema kavuliwa ubunge . Ila anaruhusiwa kugombea tena hivyo tumwite mbunge mteule kwani ccm hawana chao tena.
Kumbe ulisikia, nilidhani una uhakikaNilisikia kama Hakimu alipewa kitita cha kutosha ili kutoa hukumu ya aina hiyo.