NICE LAMECK
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 213
- 28
Hili lilikuwa wazi sana kuwa Lema atavuliwa ubunge, kitendo cha Batilda Burian kutokutokea kutoa ushahidi na Jaji kufunga bila shahidi mkuu huyo kutokea mahakamani ilikuwa ishara tosha.
Pamoja na Majaji kula viapo vya kutenda kazi yao vizuri, Jaji Mkuu MH. Chande alinukuliwa akilalamika Serikali kuingilia Mhimili huo muhimu na matokeo yake ni hayo.
Pesa za walipa kodi zitatumika tena kwenye uchaguzi mdogo wakati umaskini umetukalia kooni.
Credit nzuri kwa Chadema. Uchaguz ukirudiwa Lema atapta tena na ndo kitakuwa kifo cha CCM
Pole sana wana Chadema jipangeni na uchaguzi mpya...siasa zina matamu yake na machungu yake.
Uchaguzi utarudiwambona ya Lema imeenda fasta? tunaomba na ya kigoma mjini ifanywe fasta hivohivo. maana mshindi hakuwa serukamba alikuwa mgombea wa cdm. sasa itakuwaje kisheria maana Batrida tayari ni balozi na yuko kenya? je sheria inamruhusu kuwa balozi na mbunge at the same time?
kama hataruhusiwa basi Dr. Slaa atasimama hapo Arachuga ... halafu tuone