Hakuna cha ushirikiano,wako kibiashara ukiona pikipiki ujue washasunda 10,000/=
lema ametoka leo asubuhi na leo mchana atakua na mkutano Viwanja vya NMC kuongea na wapiga kura wake yale aliyoyaona gerezani,watu wa sehemu mbalimbali kutoka arusha wanaelekea huko,pikipiki zmejaa mitaa ya njiro zikiwa na bendera ya cdm
Hakuna cha ushirikiano,wako kibiashara ukiona pikipiki ujue washasunda 10,000/=
Msafara mkubwa wa cdm kuelekea viwanja vya barafu dodoma,watu wamejitokeza kwny msafara,
Hakuna cha ushirikiano,wako kibiashara ukiona pikipiki ujue washasunda 10,000/=
Watu wakiwa madarakani wanajisahau kabisa, huwezi ukawaita wenzako mapanyakuna vijana wamepita hapa wanaimba hiv "2napendana sana sisi mapanya" huku wakionyesha sura za huzuni inaonyesha kitendo cha kuitwa panya kimewakera sana
chadema hawana jeshi wala mahakama wala serikali mipango yote ni ya ccm halafu magamba wanauharibu mji wa arusha kwa mambo mawili nionavyo mimi kwanza kama uliwahi sikia wale nyoka wa mirerani yaani wale wachimbaji wadogo wote wamefukuzwa na serikali maaneo wakapewa wazungu tanzanite one ,pili viwanda vya arusha vimekufa au kuuzwa kwa wahindi wao wakauza mitambo kama chuma chakavu yote hayo ni serikali ya ccm je unacha kuongeza? vijana waende wapi pesa za epa wamepewa mafisadi yaani double mifisadization aaa magamba mabaya sanaaaaaaaaChadema wanazidi kulidumaza Jiji la Arusha biashara zimekuwa ngumu wawekezaji wanaukimbia kutoka na kundi la wahuni wa Chadema..
Nimeongea na rafiki yangu ana hotel ya kitalii mbugani analalamika watalii na wageni wengine wanaogopa kuja Arusha..
Mji umejaa vibaka kila kona wanapora vitu hovyo uku wakijinadi hii ndio nguvu ya umma huku wakionyesha vidole ya viwili..
Watu wakiwa madarakani wanajisahau kabisa, huwezi ukawaita wenzako mapanya
Hakuna cha ushirikiano,wako kibiashara ukiona pikipiki ujue washasunda 10,000/=