Godbless Lema aunguruma uwanja wa NMC Arusha

Godbless Lema aunguruma uwanja wa NMC Arusha

Status
Not open for further replies.
Pichaa kwa waliokoo eneo la tukioo..please.....magamba wanafuatiliaa piaa.
 
Mwanza pa moto hawawezi kukurupuka,wakuu jitahidini kutwekea picha na maelezo ya kina,hwa mpaka wanyooke tu
 
Bila shaka msafara haina muda kuingia hapa uwanjani kwa tabibu ninazo hapa. Vijana wamechafukwa na mioyo na mfumo wa unyanyasaji unaoendelea hapa Nchi na ya OCD Zuberi kuwaita watu panya. NA KWA MTAZAMO WANGU WA HARAKA NA UTAMBUZI WA HARAKA HAKIKA NAWAAMBIA YA KWAMBA WATU WAMECHOSHWA NA UONGOZI LEGELEGE WA sisiem NA HAKIKA NGUVU YA UMMA WAMEBADILIKA HAKIKA,na police kama kweli kama mkiendelea ku2mikia sisiem na kuacha kazi zenu lengwa hakika nawaambieni ya kwamba mwuwaambie mapapa wenu waongeze bunduki yenye kubeba risasi nyingi bila ya kusahau mabomu ya mikono kwani hizo mlizonazo hazitatosha.
 
Jamani pichaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa. Kiroho kinanidunda kwa hamu kubwa ya ukombozi huu mwe!
 
nipo hapa kona mbauda naelekea nmc....leo salam kwa jk na magamba wote mkome kuleta janja janja arusha...hii ni bengazi
 
Sasa how comes huo mkutano unaruhusiwa wakati mingine inagomewa eti kwa sababu ya Al Shabab? Mie nilifikiri kwa Arusha ndiyo ingekuwa ni hatari zaidi kwa sababu ya ukaribu wa mipaka ya Kenya ambako Al Shabab wamewahi kushambulia!! Intelijinsia ya Bongo ni upumbavu mtupu. Kama ingekuwa suala la Al Shabab lina ukweli wake basi hata kesi za CHADEMA wangekuwa wanaahirisha bila ya watuhumiwa kufika mahakamani kwa sababu wasikilizaji ni wengi mno.
 
niko hapa friends corner watu ni wengi wanamsubiria mbunge huku vidole viwili vikitawala

By the way si kule gerezani alikula chakula chao maskini, inabidi aende haraka kwa daktari wake kabisa afanyiwe check up manake lolote la kuwa ,kolimbwalized might have happened!!! hahaaaaaaaa...
 
Shujaa na kiongozi wa kweli anayeutetea umma VIVA CHADEMA
 
wakuu me nakaribia hapo nmc sijui kukoje nami pia nitajaribu kutuma pic
 
Huyo rafiki yako na hao 'wageni wengine' waambie waende bagamoyo wakawekeze huko.. Kwingine tunasafisha kwanza hadi tuhakikishe mafisadi wameisha.

Safi kabisa mueleze huyo pimbi naona anataka kutuharibia siku tu wengine hapa.
 
Mwanza pa moto hawawezi kukurupuka,wakuu jitahidini kutwekea picha na maelezo ya kina,hwa mpaka wanyooke tu

RPC wa mwanza ni kichaa. anapunic mno. jmbo dogo anajaa upepo. Lakini hakuna cha kuogopa, likiwepo jambo la kudai lazima kuandamana. ni kusubiri maelekezo ya viongozi wanaopendwa.
 
Hakuna ubishi, huyu jamaa no kiboko. Anawachezesha polisi na CCM ngoma yake. Kweli kumpiga teke chura ni kumuongezea spidi. Shime shime wana Arusha jitokezeni kwa wingi kumlaki mbunge wenu, huyo hamjampata hapa duniani kama walivyo wabunge wa kidunia kama Lusinde, Job Ndugai, Samwel Sita, et el

wana arusha huwa hawahitaji kuhamasishwa na mtu, wao wenyewe wataacha shughli zao kwenda kusikia matamko. na modalities
 
tushabikie tu maandamano na mikutano yasiku thekathini katika mwezi ikifika jioni kijana hana msosi anavizia watu anakaba na kibaya zaidi wanakabana wenyewe kwa wenyewe kwa weli hali ya uchumi katika jiji la arusha ni mbaya kupita,nashauri mikutano hii pia na maandamano haya yafanyike moshi na dar-es-salaam

Sijui na walibya wangekuwa na akili kama ya kwako Gadafi angekuwa wapi?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom