Wana janvi mlioko A-twn mtuhabarishe nn kinaendelea huko Kisongo na arusha kwa ujumla mara baada ya kamanda Lema kutoka mahabusu.
Wana janvi mlioko A-twn mtuhabarishe nn kinaendelea huko Kisongo na arusha kwa ujumla mara baada ya kamanda Lema kutoka mahabusu.
Ni vizuri kuwa mtulivu wakati wa kupost ili kupunguza mchanganyiko. Sasa hapo hata mimi mwenyewe sijaelewa kama unaleta taarifa au unauliza swali.
Intelegensia ya IGP mwema ishanukuliwa ama?
Pamoja sana kiongozi wetu...naamini tutaonana!Ndio paka mi nipo kwenye ofisi hapa napakana na NMC kwa kutenganishwa na ukuta tu
na ninasubiri hilo kwani leo ni siku kuu bado hope tutakutana hapo.
mwambie nape awapigie cm waje!!Al-Shabaab?
Kachochea nini?....wasije mrudisha tena kwa uchochezi!