Godbless Lema aunguruma uwanja wa NMC Arusha

Status
Not open for further replies.

SOKON 1

JF-Expert Member
Dec 28, 2010
1,134
331
Mheshimiwa mbunge wa Arusha mjini kamanda G Lema baada ya kutoka gerezani leo atazungumza na wapiga kura wake ktk viwanja wa NMC UNGALIMITED.

Nawasilisha
 
Muda pls na wale wajumbe wataokuwa kule watuunganishe live kwenye tukio
 
Big up Lema! Mara zote haki haishindwi na dhuruma. Umeanzisha ukomboz kwa kuandika historia na kamwe Mungu atakujibu muda c mrefu.
 
yeah namkubali sana huyu kijana kaka yangu hivi hjuyu hayumo katika ukoo wa kina Sokoine.Lakini huyu kanywa damu ya mmasai.SO brave Lema
Viva CHADEMA
 
Mheshimiwa mbunge wa Arusha mjini kamanda G Lema baada ya kutoka gerezani leo atazungumza na wapiga kura wake ktk viwanja wa NMC UNGALIMITED.

Nawasilisha
Hakuna ubishi, huyu jamaa no kiboko. Anawachezesha polisi na CCM ngoma yake. Kweli kumpiga teke chura ni kumuongezea spidi. Shime shime wana Arusha jitokezeni kwa wingi kumlaki mbunge wenu, huyo hamjampata hapa duniani kama walivyo wabunge wa kidunia kama Lusinde, Job Ndugai, Samwel Sita, et el
 
hawa al-shabaab mbona wana pendelea sana, mi nlidhani watakuwepo kama ilivyokuwa pale ubungo, lol!
 
Wadau mtakao kuepo mtujuze yatakayojiri hapo NMC Unga Ltd.VIVA CHADEMA,VIVA LEMA,VIVA WANA CHADEMA WOOTE,aluta continua?
 
ntakuwa hapo mapema sana, mtoa mada utakuwepo?
Mtoa mada ni mwanaharakati mzuri sana hawezi kosa!
Mimi na members wengine 5 wamenihakikishia kuwa watakuwepo!

Hivyo kwa habari ya updates za picha, sauti na Maandishi mtashindwa wenyewe!

Kuna MwanaArusha mmoja, Mfanyabiashara maarufu, alitutafuta wanaJF arusha hadi kutupata, akatuambia kuwa anafurahishwa sana anapoona matukio ya kisiasa yanavyorushwa live kutoka Arusha, na kwa kuonyesha kufurahishwa na hilo akasema kila kukiwa na tukio basi atatoa laptops na kamera zake kuwezesha matukio kufika dunia nzima!

Tunamshukuru sana mzee huyu...members wa Arusha wanamjua vyema!
 
Ndio paka mi nipo kwenye ofisi hapa napakana na NMC kwa kutenganishwa na ukuta tu
na ninasubiri hilo kwani leo ni siku kuu bado hope tutakutana hapo.
 
Lema kampiga chini Goliath. Somo hili/ never oppose strength to strength,use opponents momentum to dethrow him .(principles of Judo)
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom