Godbless Lema aunguruma uwanja wa NMC Arusha

Godbless Lema aunguruma uwanja wa NMC Arusha

Status
Not open for further replies.
Tupo pamoja wazee katika ukombozi wa dhati wa Mtanzania,ni heri sisi tukose kabisa ila CCM na watoto wao wapungukiwe.
 
Namsubiri nipo hapa Nmc kabisa na bike zote za A-town zinaonesha ushirikiano wa kutosha
 
Wapi Ritz? Nina hamu na upupu wake kunogesha shughuli ya leo.
 
Mtoa mada ni mwanaharakati mzuri sana hawezi kosa!
Mimi na members wengine 5 wamenihakikishia kuwa watakuwepo!

Hivyo kwa habari ya updates za picha, sauti na Maandishi mtashindwa wenyewe!

Kuna MwanaArusha mmoja, Mfanyabiashara maarufu, alitutafuta wanaJF arusha hadi kutupata, akatuambia kuwa anafurahishwa sana anapoona matukio ya kisiasa yanavyorushwa live kutoka Arusha, na kwa kuonyesha kufurahishwa na hilo akasema kila kukiwa na tukio basi atatoa laptops na kamera zake kuwezesha matukio kufika dunia nzima!

Tunamshukuru sana mzee huyu...members wa Arusha wanamjua vyema!
Mkuu PJ, humo kwenye red humo....usimtaje jina! ukithubutu tu kumtaja basi CCM wanamfilisi mchana kweupeee kupitia TRA
 
Hapa mjini Arusha pikipiki magari,hiace zimejaa bendera za chadema kweli zama za mkoloni mweusi CCM zimekwisha.
 
CCM tafteni pa kujificha leo, majipu mengine huenda yakapasuka leo!!
"Wellcome back kamanda"
 
hapo naona police na ccm wamesalim amri
 
Hakuna cha ushirikiano,wako kibiashara ukiona pikipiki ujue washasunda 10,000/=

We kabonde acha u-masaburi wako na usenge wa ccm wa kuwalipa hongo hadi wanafunzi ili waje kwenye mikutano yenu ya magamba.

Mimi nipo kwenye msafara na hicho unachotaka wana-jf wakuamini sijakiona kwani hata maji ya kunywa tunanunua kwa pesa zetu!
 
Mie nasubiri kwa hamu kubwa majungu ya Ngongo na kundi lake!
 
We kabonde acha u-masaburi wako na usenge wa ccm wa kuwalipa hongo hadi wanafunzi ili waje kwenye mikutano yenu ya magamba.

Mimi nipo kwenye msafara na hicho unachotaka wana-jf wakuamini sijakiona kwani hata maji ya kunywa tunanunua kwa pesa zetu!
Kabonde na Ngongo lao moja, majungu mpaka mwisho. Lakini leo watachekea chooni.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom