Mwanakili90
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 1,568
- 246
wadau wataweka mda si mrefu.makelele nderemo na vifijo.
Mandela wa tz is free
Mandela wa tz is free
una maendeleo wewe!na shoga mwenzio!
pamoja sana mkuu.sisi huku dar tutakuwa tunatia ubani na sala kwenda mbele.mimi najua ukombozi wa pili wa nchi hii umeaanzia kanda hizo za kaskazini yaani klm,ar ,mr mpaka mz,bk,kg,shy na sasa moto wa kaskazini ukifika mpaka tbr wakati ule wa mb ukisambaa ir,rk na rvm na kuna siku natabiri mtr,ld,mgm,na ta kuwa ngome kuu za mapambano,yaani mpaka kieleweke.
Lema kampiga chini Goliath. Somo hili/ never oppose strength to strength,use opponents momentum to dethrow him .(principles of Judo)
Huyo rafiki yako na hao 'wageni wengine' waambie waende bagamoyo wakawekeze huko.. Kwingine tunasafisha kwanza hadi tuhakikishe mafisadi wameisha.Chadema wanazidi kulidumaza Jiji la Arusha biashara zimekuwa ngumu wawekezaji wanaukimbia kutoka na kundi la wahuni wa Chadema..
Nimeongea na rafiki yangu ana hotel ya kitalii mbugani analalamika watalii na wageni wengine wanaogopa kuja Arusha..
Mji umejaa vibaka kila kona wanapora vitu hovyo uku wakijinadi hii ndio nguvu ya umma huku wakionyesha vidole ya viwili..
Chadema wanazidi kulidumaza Jiji la Arusha biashara zimekuwa ngumu wawekezaji wanaukimbia kutoka na kundi la wahuni wa Chadema..

Huyo rafiki yako na hao 'wageni wengine' waambie waende bagamoyo wakawekeze huko.. Kwingine tunasafisha kwanza hadi tuhakikishe mafisadi wameisha.
wewe kama hukutupwa chooni ukaokolewa nini mashaka.