Godbless Lema aunguruma uwanja wa NMC Arusha

Status
Not open for further replies.
hata gadafi aliwaita waliokuwa wanampinga mapanya, lakini siku ya arobaini ni yeye aliekzibuliwa kutoka kwa mtaro wa maji machafu kama panya! what goes arround always comes arround!
 
niko hapa g olden hotel midamida ntakuwaq uwanjani naona jiji limechangamka sana!
 
Huyo rafiki yako na hao 'wageni wengine' waambie waende bagamoyo wakawekeze huko.. Kwingine tunasafisha kwanza hadi tuhakikishe mafisadi wameisha.

tushabikie tu maandamano na mikutano yasiku thekathini katika mwezi ikifika jioni kijana hana msosi anavizia watu anakaba na kibaya zaidi wanakabana wenyewe kwa wenyewe kwa weli hali ya uchumi katika jiji la arusha ni mbaya kupita,nashauri mikutano hii pia na maandamano haya yafanyike moshi na dar-es-salaam
 
mpaka sasa watu ni wengi kweli na kamandamwigamba anasema mahakamani watu ni wengi kuliko hapa sasa sijui wakifika itakuwaje..amesema mbowe, dr slaa, halima, na makamnda mbalimbali watakuwepo...
wanaanza saa ngapi make nimetoka hapo benki ya CRDB watu wamejipanga njiani huku nyimbo za chadema zinapigwa!
 
duuu! hadi wakinamama,kinadada na wazee wamejitokeza. Kweli saa ya ukombozi ni sasa
 
mpaka sasa watu ni wengi kweli na kamandamwigamba anasema mahakamani watu ni wengi kuliko hapa sasa sijui wakifika itakuwaje..amesema mbowe, dr slaa, halima, na makamnda mbalimbali watakuwepo...
mkuu hapo peusi nilisoma fasta nikafikiri umeandika makamba!! ha ha ha
 
Nchi yenyewe imedumaa itakuwa Arusha!
Ni mji gani unafanya vizuri kibiashara Tanzania hii ya leo?
Vibaka unawaona ila wezi wa kalamu a.k.a Mafisadi huwaoni na Jembe na Nyundo?

Dar es Salaam, Mwanza..
 
tushabikie tu maandamano na mikutano yasiku thekathini katika mwezi ikifika jioni kijana hana msosi anavizia watu anakaba na kibaya zaidi wanakabana wenyewe kwa wenyewe kwa weli hali ya uchumi katika jiji la arusha ni mbaya kupita,nashauri mikutano hii pia na maandamano haya yafanyike moshi na dar-es-salaam
Hii ni Biological error.................kichwa chako sio kasha la kuhifadhia mdomo, macho, pua na masikio........kuna ubongo humo, UTUMIE.
 
mpaka sasa watu ni wengi kweli na kamandamwigamba anasema mahakamani watu ni wengi kuliko hapa sasa sijui wakifika itakuwaje..amesema mbowe, dr slaa, halima, na makamnda mbalimbali watakuwepo...

Nipo hapa mahakamani. Lema ameloaloa kama vile walim-cameron huko alikokuwa. Inatia huruma.
 
hata gadafi aliwaita waliokuwa wanampinga mapanya, lakini siku ya arobaini ni yeye aliekzibuliwa kutoka kwa mtaro wa maji machafu kama panya! what goes arround always comes arround!
Kabla ya kumuua jamaa walimla Cameroon, du watu wabaya. Ritz jipange your days are numbered.
 
Nimepishana na kundi la vijana maeneo ya Summit wanaimba
"Hakunaga mbunge kama wewe"
 
Kwahali iliyopo leo hapa A- town kama kutatokea chokochoko yoyote kat ya raia na police bac naamin 100% mauaji makubwa sana na machafuko yatatokea.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom