Tanzania ndiyo ina nguvukazi?.cANADA INAHITAJI WAGENI WENGI KWAKUWA IMEPUNGUKIWA NGUVUKAZI
Umaskini wa mawazo ni hatari sanaMimi ninachojiuliza huko ataku akifanya Nini kitakacho kua kikimuingizia kipato kwaajili ya mahitaji yake na ya familia yake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila kumbuka jinai huwa haifiLema kaiacha Arusha ili itakuwa vizuri maana sasa ataweza kumtukana Jiwe mtandaoni bila uoga.
Nahisi Likabudi linaweza likamuita balozi wa Canada likamtishia kwa ile mimacho yake huku likimsisitiza kurudisha bombardiers zote walizozinunua Canada
Wee mlavumbi endelea kusubiri Maendeleo ya Magu ya kununua ndege zinazokamua hazinaPale mtu anapokuwa namipango ya siku nyingi ya kwenda Kannada nyakati akiwa mbunge, inapotokea mtu kaukosa ubunge, inabidi atumie mbinu mbadala kukata kiu yake
Ni upumbavu kusema Lema, eti ni mkimbizi wa kisiasa!!
Ndungai ndiye alikuwa mdhamini wake.Job Ndugai alisema Lema ana madeni ya shilingi ngapi za kitanzania?
Kunywa mvinyo nita kulipa 100%Una chuki sana, maisha haya mafupi kuchukia wengine chuki hukaa kifuani mwa mpumbavu.
Amina mkuu, najiandaa kuelekea SA mapema mwakani. At least wazungu wengi kuleMungu wabariki Wazungu
Hivi kwa ujinga huu mjue mnaitukana Serikali ya mtukufu wenu kwamba haiwezi kazi manake mtu muhalifu anaachwaje amiliki Mali jinga sana nyieZile ni mali zake hata akiwa huko ukimbizini.
Nachukia sana mtu anaependa kuingiza ukabila kwenye hoja zake na ni dalili za chuki na wivu.Amekimbia madeni yake yaliyosomwa bungeni ya milioni zaidi ya 400?
Lema unazidi kuwachafua zaidi wachaga, dawa ya deni ni kulipa siyo kukimbia na kujifanya mkimbizi feki, sasa umekimbilia kwa wazungu watakupa kazi ya kuosha vibibi na vibabu.
Wenye wivu utawajua tu, mtu akipata mara mwizi mara mchawi ilimradi wamchafue.Hana haja nazo alizipata kwa wizi acha wenyewe wazitumie.
Kwako wewe, mtu kukimbia vitisho dhidi ya maisha yake ni wa kuepuka kuliko watishaji na wauaji wenyewe?Halafu kuna vijana wajinga wamepata matatizo kibao kwa mahubiri ya "HAKUNA DHAMBI MBAYA KAMA UOGA" kutoka kwa Lema.
Cha ajabu mhubiri mwenyewe kapokea SMS ya vitisho tu kahama bara!
Ifike mahali vijana muache kutumia vichwa vyenu kuteganishia masikio tu
Canada wanahitajika watu wengi sana kazi zipo kibao kupita maelezo na kikubwa kuliko vyote elimu bora ambayo haipatikani Tanzania watapata watoto wake!Mimi ninachojiuliza huko ataku akifanya Nini kitakacho kua kikimuingizia kipato kwaajili ya mahitaji yake na ya familia yake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina Ofisi yangu Pretoria, karibu sanaAmina mkuu, najiandaa kuelekea SA mapema mwakani. At least wazungu wengi kule
UOGA NI KUSUBIRI KUUWAWA NA WAJINGAHakuna DHAMBI mbaya kama UOGA!
Pole pole mkuu! Acha kuwapa sifa wasostahiliLema kaiacha Arusha ili itakuwa vizuri maana sasa ataweza kumtukana Jiwe mtandaoni bila uoga.
Nahisi Likabudi linaweza likamuita balozi wa Canada likamtishia kwa ile mimacho yake huku likimsisitiza kurudisha bombardiers zote walizozinunua Canada