Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 22,688
- 34,525
Mali gani zinazowezesha kulingana na uhai ?Ila nawaza Biashara na Mali zake alizokua amezipata na kuwekeza Inakuaje hapo
Mali gani zinazowezesha kulingana na uhai ?Ila nawaza Biashara na Mali zake alizokua amezipata na kuwekeza Inakuaje hapo
Kumbe kweli mlikuwa mnamtishia ?Kumbe kelele za bure tu, katishiwa kidogo tu mbio!! Ujanja wa bure kabisa. Akahudumie wazee huko sasa apate hela ya kunywa bia, halafu awatukane na wao aone.
Hapa hakuna haja ya kutukanwa, the fact kwamba anasababisha watu kuhama nchini mwao ni anajitukanisha mwenyewe bila mtu kunyanyua mdomo. Na hili litaendelea kuwa tusi kwake akiwa madarakani au akiondoka madarakani. Hii ndio legacy yake yaani!Kwahiyo ameenda Canada kwa Ajili ya kumtukana Jiwe
makamanda wameachwa wakiteseka na familia zaoAliyekua mgombea wa Arusha Godbless Lema Jana usiku amesafiri na familia yake kwenda Canada.
==========
Hata panya akiwa shimoni ghafla nyoka lile shimo kuwa makazi yake panya hukimbilia mahali pengine kutafuta hifadhi kwa ajili ya usalama wa uzima wake upo.Taifa sasa lipo kwny mikono salama,majambazi yote yanakimbia nchi 😂😂😂😂😂😂
Lakini pamoja na kuhudumia wazee si atakuwa na uhakika na usalama wake? Na ana uhakika ataishi nchi inayojali raia wake na kufuata katiba na sheria? yaani ana hakika kwamba utawala wa Canada hautegemei matakwa ya mtu mmoja! Huku sisi itategemea jiwe kaamua vipi yaani. Tuseme ukweli mimi na wewe na wengine wote ndani ya Tanzania hatuna uhakika wa usalama wetu!Kumbe kelele za bure tu, katishiwa kidogo tu mbio!! Ujanja wa bure kabisa. Akahudumie wazee huko sasa apate hela ya kunywa bia, halafu awatukane na wao aone.
Wakimbizi kama yeye hupewa nyumba, matibabu na posho ya kujikimu. Unaweza kutafuta kazi ya taaluma yako ukifanya mitihani na kutambulika na bodi ya taaluma hiyo.Mimi ninachojiuliza huko ataku akifanya Nini kitakacho kua kikimuingizia kipato kwaajili ya mahitaji yake na ya familia yake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwwnzio kala maisha na familia yake, wewe endelea kula vumbi na watoto wanasoma shule ya kata.Sinema yake imebuma wananchi tunajitambua
Kwako wewe, mtu kukimbia vitisho dhidi ya maishaaHalafu kuna vijana wajinga wamepata matatizo kibao kwa mahubiri ya "HAKUNA DHAMBI MBAYA KAMA UOGA" kutoka kwa Lema.
Cha ajabu mhubiri mwenyewe kapokea SMS ya vitisho tu kahama bara!
Ifike mahali vijana muache kutumia vichwa vyenu kuteganishia masikio tu
Nakaribishwa pm mkuu?Nina Ofisi yangu Pretoria, karibu sana
Huwa sihangaiki na PMKwako wewe, mtu kukimbia vitisho dhidi ya maishaa
Nakaribishwa pm mkuu?
Kwa hiyo makazi ya kudumu ni Canada? Huyu anakwepa madeni tu! Tunajua anadaiwa vya kutosha. Huko aendako ndo kweli panamfaa mtu wa umri wake na elimu ndogo aliyonayo? Tumtakie afya njema ili akafanye vibarua kwa nguvu!Aliyekua mgombea wa Arusha Godbless Lema Jana usiku amesafiri na familia yake kwenda Canada.
==========
Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema, apata nafasi ya hifadhi ya kisiasa nchini Canada.
Lema aliondoka jana nchini Kenya akiwa na familia yake, wakili wake George Luchiri Wajackoyah athibitisha.
Mwezi uliopita Godbless Lema, polisi nchini Kenya walimkamatwa kwa madai ya kuingia nchini humo kinyume na sheria na kumuachia huru baada ya muda mfupi.
Kwa mujibu wa wakili wake, George Wajackoyah, Lema ambaye alikua ameambatana na familia yake alikua akielekea jijini Nairobi kwa ajili ya kutafuta makazi ya muda baada ya kutishiwa maisha.
Chanzo: BBC Swahili
hujui kitu , Shut upmakamanda wameachwa wakiteseka na familia zao
Ndio mjifunze siku nyingine kuacha kutumika na kutoa mapovu mitaondaoni,angekuwa wa maana kama angebaki tunyooshwe wote,lakini kawahi mke na watoto kasepa,kawaacha pangu pakavu tia mchuzi
Achaga kulinganisha utumbo na vitu vya maana!Amekuwa kama Oscer Kambona!
Nipe mwongozo chief, mm nitahangaika nao.Huwa sihangaiki na PM
Kuokoa maisha haiwezi ikawa kupotea stepu. Maisha ya wapambanaji yana risk kubwa sanaHaitamchukua muda mrefu kugundua kuwa kapotea stepu.
Wewe unajiuliza swali hilo kwa sababu ni kilaza kama wengine huko Serikalini wanaonyanyasa watu lakini wewe hata hapa nyumba Tanzania huajiriki kusafisha vyoo vya Ikulu au ofisi yoyote ya Serikali au kwangu. Lema atafanya kazi, familia itakula butter badala ya mtori na watoto wake watasoma Shule zinazojulikana na kukubalika duniani badala ya za hapa za Kata ambazo hata kwenye Tarafa hazijulikani na vyoo ni vichakani. Lema ni mfanyabiashara mzuri akitaka kuendelea na biashara bila manyanyaso ya TRA, Kanada ina fursa nyingi rafiki kwa yeyote anayetaka kufanya hivyo ndo maana wafanyabiashara wengi toka Tanzania wamekimbilia huko kukwepa TRA ya Awamu ya Tano. Dr Slaa, Balozi wetu Sweden aliwahi kuishi huko kabla ya uteuzi!Mimi ninachojiuliza huko ataku akifanya Nini kitakacho kua kikimuingizia kipato kwaajili ya mahitaji yake na ya familia yake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa Team Magufuli, upinzani ni jinai. Sishangai unaandika hivi.Achaga kulinganisha utumbo na vitu vya maana!
Huyu Lema mwanasiasa uchwara ndiye wa kulinganishwa na Oscar Kambona! Rais Magufuli yuko sahihi sana kuhusu somo la Historia kuwa compulsory maana watu wengine mko weupe sana vichwani!