Godbless Lema apata hifadhi ya kisiasa nchini Canada

Godbless Lema apata hifadhi ya kisiasa nchini Canada

Lema nje ya ubunge maisha kwake hayawezekani kabisa yani.
Maishani ni nini Wewe? Mwenzako ana maisha, amekwea pipa, Wewe hata treni ya kwenda kwenu Christmas huwezi, afu unazungumzia Lema hawezi Maishaaa?!!!
 
Usisahau watoto kuharibika pia, kule kuzuri tu kumpeleka mtoto kusoma chuo sababu anakuwa anajitambua ukipeleka mtoto kule kufundishwa ushoga na usagaji shuleni vitu vya kawaida tu ni sehemu ya somo tu la types of acceptable relationship in CANADA!!!

Kaenda kuharibu watoto kwenda kujifunza mambo ya sodoma na gomora
Story za vijiwe vya kahawa bado hazijaruhusiwa hapa, unaharibu credibility ya kijiwe chetu tukufu! Ongea mambo unayo yafahamu, kwa mfano Simba na Yanga, haya mengine waache wajuvi wa mambo hayo!
 
Kaenda sehemu sahihi huko atakuwa na acess ya kuwafikia marekani na canada

kwa ujumla atoe picha halisi ya ukandamizaji na ubinyaji wa demokrasia Tanzania
 
Aliyekua mgombea wa Arusha Godbless Lema Jana usiku amesafiri na familia yake kwenda Canada.

==========

Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema, apata nafasi ya hifadhi ya kisiasa nchini Canada.

Lema aliondoka jana nchini Kenya akiwa na familia yake, wakili wake George Luchiri Wajackoyah athibitisha.

Mwezi uliopita Godbless Lema, polisi nchini Kenya walimkamatwa kwa madai ya kuingia nchini humo kinyume na sheria na kumuachia huru baada ya muda mfupi.

Kwa mujibu wa wakili wake, George Wajackoyah, Lema ambaye alikua ameambatana na familia yake alikua akielekea jijini Nairobi kwa ajili ya kutafuta makazi ya muda baada ya kutishiwa maisha.

Chanzo: BBC Swahili
Ha ha ha
 
Ajiandae k

Ajiandae kisaikologia kuishi kama raia wa daraja la tatu nchini Canada. Pole kubwa kwa mke na watoto!!
 
Back
Top Bottom