Godbless Lema apata hifadhi ya kisiasa nchini Canada

Godbless Lema apata hifadhi ya kisiasa nchini Canada

Lema kaiacha Arusha ili itakuwa vizuri maana sasa ataweza kumtukana Jiwe mtandaoni bila uoga.

Nahisi Likabudi linaweza likamuita balozi wa Canada likamtishia kwa ile mimacho yake huku likimsisitiza kurudisha bombardiers zote walizozinunua Canada
Matusi huwa yana manufaa gani?
 
Tanzania ndiyo ina nguvukazi?.

 
Bora ameenda zake Canada, huko watoto wake watapata elimu na mazingira bora na amani ya kutosha. Yaani namuonea wivu kwa kupata ulaji.
Kweli Kabisa, kula atapata mahitaji yote muhimu.
 
Canada wanahitajika watu wengi sana kazi zipo kibao kupita maelezo na kikubwa kuliko vyote elimu bora ambayo haipatikani Tanzania watapata watoto wake!
Ukisikia kumpiga chura teke ndio huko
Usisahau watoto kuharibika pia, kule kuzuri tu kumpeleka mtoto kusoma chuo sababu anakuwa anajitambua ukipeleka mtoto kule kufundishwa ushoga na usagaji shuleni vitu vya kawaida tu ni sehemu ya somo tu la types of acceptable relationship in CANADA!!!

Kaenda kuharibu watoto kwenda kujifunza mambo ya sodoma na gomora
 
usisahau watoto kuharibika pia
kule kuzuri tu kumpeleka myoto kusoma chuo sababu anakuwa anajitambua ukipeleka mtoto kule kufundishwa ushoga na usagaji shuleni vitu vya kawaida tu ni sehemu ya somo tu la types of acceptable relationship in CANADA!!!

Kaenda kuharibu watoto kwenda kujifunza mambo ya sodoma na gomora
Ebow me nina taka ni wa fundishe watoto wangu kuishi na nyoka na kenge na mamba na CCM nyumba ndani ya nyumba moja ni suala la kujitambua tu mkuu Bangi haiwezi kuwa sigara mradi elimu ni safi!
 
kakimbia deni la CRDB, itabidi ile nyumba yake ya njiro, magari, matrekta, yapigwe mnada kufidia hilo deni
Ila nyie ni wehu kweli swala la madeni yake linawahusu nini? Madeni kwa mwanaume unaye simamisha ni kawaida sana.

Hata zikiuzwa wewe tatizo nini?
 
Yeye na watoto wake na mkewe watalipwa kila mwezi si chini ya dola 800 $ Canadian.kila mmoja.

🤣 🤣 I'd rather niwe Ileje kuliko CAD 800 monthly haitoshi hata rent apartment za ajabu ajabu.
 
Mliokuwa mnataka kuandamana mngechezea virungu hata kupata ulemavu huku mngali mkitegemewa na familia zenu afu walioshawishi ndo hao wanakwea pipa
 
Back
Top Bottom