LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 11,788
- 15,406
Duh. Siasa hizi..
Lema hana kilicho mkimbiza zaidi ya madeni aliyokuwa nayo pamoja na kuichafua Nchi yetu huko nje! Wapuuzi sana huyu Lema na Lissu !Kwa Team Magufuli, upinzani ni jinai. Sishangai unaandika hivi.
"Nabii" wenu akisema "maendeleo hayana vyama" huwa hata haelewi anaongea nini. Maana amefikia hatua ya kutoa vitisho kama wananchi wanamchagua mtu wa upinzani.
Magufuli kavuruga mfumo mzima wa kidemokrasia hapa nchini. Cha ajabu, Lema huyu huyu akiamua kuhamia ccm, utaona anapambwa vizuri sana na wati kama wewe.
You are really matured in politics.Kwenye siasa hakuna asiye tapeli!
Ni sawa kama kachagua kuhifadhiwa yeye na familia yake kuna ubaya gani kwa mtu kuhifadhiwa kwenye hifadhi kama nyumbu.Aliyekua mgombea wa Arusha Godbless Lema Jana usiku amesafiri na familia yake kwenda Canada.
==========
Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema, apata nafasi ya hifadhi ya kisiasa nchini Canada.
Lema aliondoka jana nchini Kenya akiwa na familia yake, wakili wake George Luchiri Wajackoyah athibitisha.
Mwezi uliopita Godbless Lema, polisi nchini Kenya walimkamatwa kwa madai ya kuingia nchini humo kinyume na sheria na kumuachia huru baada ya muda mfupi.
Kwa mujibu wa wakili wake, George Wajackoyah, Lema ambaye alikua ameambatana na familia yake alikua akielekea jijini Nairobi kwa ajili ya kutafuta makazi ya muda baada ya kutishiwa maisha.
Chanzo: BBC Swahili
Dr Slaa yuko Canada? Najua ni balozi wa Tanzania nchini Sweden, lini amekwenda Canada tena?Kuriport kwa Dr Slaa kweli aya maisha ni safari. Lema na Dr Slaa wanakula Bata Canada sasaivi tu.
Vilaza wa Tanzania mnatia aibu sana kwani nani ataadhirika zaidi nchi hii ikivunja uhusiano wa Kibalozi na Kanada au Ubelgiji? Kama siyo vilaza kama ninyi, wafanyakazi wetu kwenye Balozi zetu kwenye nchi hizo wajibu swali hilo badala ya Kabudi au Hassan Abbas mnaowasemea.hawa MABEBERU wanaojidai kuwaonea huruma hawa watorokaji wakuu wa nchi - tunavunja uhusiano nao wa kibalozi tuone sasa.
Lema ataishi Kanada vizuri sana kwa sababu yeye na mkewe watapata vibali vya kufanya kazi na atarudi Tanzania Awamu ya Tano ya wauaji itakapokuwa imetoka madarakani na kuhakikishiwa usalama wake na familia yake. Watoto wangeweza kusoma nchi yoyote duniani bila familia nzimà kuhama nchi!Lema hawezi kuishi Canada. Anachotafuta ni shule za watoto wake. Watoto wakishasettle shule Lema lazima atarudi Bongo. Hakuna mkimbizi hapo, kuna baba anayetafuta namna ya kusomesha watoto...
Mkimbizi haruhusiwi kutukana nchi au viongozi wa nyumbani kwao, alikokimbia.Lema kaiacha Arusha ili itakuwa vizuri maana sasa ataweza kumtukana Jiwe mtandaoni bila uoga.
Nahisi Likabudi linaweza likamuita balozi wa Canada likamtishia kwa ile mimacho yake huku likimsisitiza kurudisha bombardiers zote walizozinunua Canada
Mbona Zanzibar hakuna kiongozi ambaye ni mkimbizi wa kisiasa na madhila mengi kisiasa ndiko yalikotokea? Lakini na hawa Chadema wanapata wapi nguvu ya kumsema maalim seif kukubali kuwaunganisha tena wazanzibari kwa kuwa makamo wa kwanza lakini viongozi wao mashuhuri Tundu Lissu na Lema wazi wazi sasa wamewatelekeza tena watanzania na kuwasabilia watalawala wafanye watakavyo wao wakiwa nje ya nchi? Matumaini ya watanzania yalikuwa kwao leo washaondoka ni kiongozi gani ataiokoa Tanzania tena kutoka kwa huyu mkoloni mweusi? au ndio kusema tuanze mwanzo mapambano?Aliyekua mgombea wa Arusha Godbless Lema Jana usiku amesafiri na familia yake kwenda Canada.
==========
Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema, apata nafasi ya hifadhi ya kisiasa nchini Canada.
Lema aliondoka jana nchini Kenya akiwa na familia yake, wakili wake George Luchiri Wajackoyah athibitisha.
Mwezi uliopita Godbless Lema, polisi nchini Kenya walimkamatwa kwa madai ya kuingia nchini humo kinyume na sheria na kumuachia huru baada ya muda mfupi.
Kwa mujibu wa wakili wake, George Wajackoyah, Lema ambaye alikua ameambatana na familia yake alikua akielekea jijini Nairobi kwa ajili ya kutafuta makazi ya muda baada ya kutishiwa maisha.
Chanzo: BBC Swahili
Hivi mtu akipewa hifadhi huwa anafanya kazi gan huko?au kula Kulala?Lema yupo smart wachache ndani ya taifa wanavuruga amani na ustawi wa taifa letu. Hakuna mwenye furaha.
Aliyekua mgombea wa Arusha Godbless Lema Jana usiku amesafiri na familia yake kwenda Canada.
==========
Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema, apata nafasi ya hifadhi ya kisiasa nchini Canada.
Lema aliondoka jana nchini Kenya akiwa na familia yake, wakili wake George Luchiri Wajackoyah athibitisha.
Mwezi uliopita Godbless Lema, polisi nchini Kenya walimkamatwa kwa madai ya kuingia nchini humo kinyume na sheria na kumuachia huru baada ya muda mfupi.
Kwa mujibu wa wakili wake, George Wajackoyah, Lema ambaye alikua ameambatana na familia yake alikua akielekea jijini Nairobi kwa ajili ya kutafuta makazi ya muda baada ya kutishiwa maisha.
Chanzo: BBC Swahili
Kila la kheri kwake mediocreAliyekua mgombea wa Arusha Godbless Lema Jana usiku amesafiri na familia yake kwenda Canada.
==========
Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema, apata nafasi ya hifadhi ya kisiasa nchini Canada.
Lema aliondoka jana nchini Kenya akiwa na familia yake, wakili wake George Luchiri Wajackoyah athibitisha.
Mwezi uliopita Godbless Lema, polisi nchini Kenya walimkamatwa kwa madai ya kuingia nchini humo kinyume na sheria na kumuachia huru baada ya muda mfupi.
Kwa mujibu wa wakili wake, George Wajackoyah, Lema ambaye alikua ameambatana na familia yake alikua akielekea jijini Nairobi kwa ajili ya kutafuta makazi ya muda baada ya kutishiwa maisha.
Chanzo: BBC Swahili
Hivi kwa ujinga huu mjue mnaitukana Serikali ya mtukufu wenu kwamba haiwezi kazi manake mtu muhalifu anaachwaje amiliki Mali jinga sana nyie
Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
Historia imejaa orodha ya watu waliofikwa na majanga kama ilivyotokea kwa Lema na Lissu, sina shaka muda utaamua vema dhidi yao.Lema hana kilicho mkimbiza zaidi ya madeni aliyokuwa nayo pamoja na kuichafua Nchi yetu huko nje! Wapuuzi sana huyu Lema na Lissu !
But time is the best judge watakuja kujuta huko mbeleni!
Kwenu nyie hata wakifa Lema na Lissu, mtaishia kusema chadema wanauana wao kwa wao. Basi.Mbona Zanzibar hakuna kiongozi ambaye ni mkimbizi wa kisiasa na madhila mengi kisiasa ndiko yalikotokea? Lakini na hawa Chadema wanapata wapi nguvu ya kumsema maalim seif kukubali kuwaunganisha tena wazanzibari kwa kuwa makamo wa kwanza lakini viongozi wao mashuhuri Tundu Lissu na Lema wazi wazi sasa wamewatelekeza tena watanzania na kuwasabilia watalawala wafanye watakavyo wao wakiwa nje ya nchi? Matumaini ya watanzania yalikuwa kwao leo washaondoka ni kiongozi gani ataiokoa Tanzania tena kutoka kwa huyu mkoloni mweusi? au ndio kusema tuanze mwanzo mapambano?
Mbona sioni tofauti wanavyosema maalim seif ame-sarenda lakini wao Chadema wame sarenda mara 1000 zaidi. Nani atasimama sasa kutetea Watanzania? Lema atakuwa canada maisha yake Lissu alirudi Tz kuusaka urais baada madhila kuukosa urais hakukaa ata wiki 2 na watanzania kutafuta namna amerudi alikokuwa hii maana yake ni nini hasa?
Nikusema kila uchaguzi ukikaribia Lissu atakuja kugombania akikosa urais atarudi belgium kwakuwa waliotaka kumuua bado hawajakamatwa ivi kweli Watanzania huyu ndiye Rais atakayekuwa na kiongozi tumtakaye kwa kuwakomboa Watanzania kutoka chama tawala? Maswali ni mengi hakuna majibu.
Mtaje kiongozi aliyekimbia wananchiKwenu nyie hata wakifa Lema na Lissu, mtaishia kusema chadema wanauana wao kwa wao. Basi.
Zanzibar ndio kwenye wakimbizi wengi tangu 2001. Ila sasa unaona hivi sababu Mwinyi ana ajenda yake, na ndio sababu Maalim kakubali. Kuna mengi tutayaona huko zanzibar safari hii. Lakini huku bara yupo dikteta uchwara, ni tofauti kabisa. kwa hiyo huwezi linganisha moja kwa moja.
Lema nje ya ubunge maisha kwake hayawezekani kabisa yani.Lema Mjanja sana
Wakati anapambana na Gambo tayari alikuwa na plan B ya maisha akishindwa Ubunge
Hongera zake
Dr. Slaa yupo Canada?Kuriport kwa Dr Slaa kweli aya maisha ni safari. Lema na Dr Slaa wanakula Bata Canada sasaivi tu.