Godbless Lema apata hifadhi ya kisiasa nchini Canada

Halafu kuna vijana wajinga wamepata matatizo kibao kwa mahubiri ya "HAKUNA DHAMBI MBAYA KAMA UOGA" kutoka kwa Lema.

Cha ajabu mhubiri mwenyewe kapokea SMS ya vitisho tu kahama bara!

Ifike mahali vijana muache kutumia vichwa vyenu kuteganishia masikio tu
 
Aliyekua mgombea wa Arusha Godbless Lema Jana usiku amesafiri na familia yake kwenda Canada...

==========

Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema, apata nafasi ya hifadhi ya kisiasa nchini Canada.

Lema aliondoka jana nchini Kenya akiwa na familia yake, wakili wake George Luchiri Wajackoyah athibitisha.

Mwezi uliopita Godbless Lema, polisi nchini Kenya walimkamatwa kwa madai ya kuingia nchini humo kinyume na sheria na kumuachia huru baada ya muda mfupi.

Kwa mujibu wa wakili wake, George Wajackoyah, Lema ambaye alikua ameambatana na familia yake alikua akielekea jijini Nairobi kwa ajili ya kutafuta makazi ya muda baada ya kutishiwa maisha.

Chanzo: BBC Swahili
Mkimbizi wa kwanza Tanzania
 
Maskini, nakiona kitoto cha Marehemu Mawazo... CCM Mungu anawaona yote mtendayo ipo siku.
 
Lisu na Lema wanatoa wito NO FEAR ANDAMANENI halafu wao wana FEAR wanatimka na ndege na familia zao mwingine Ubelgiji mwingine Canada!!!!!

Political Conmen!!!
 
Kutengeneza wakimbizi si jambo la afya, halafu mnataka 'history' liwe somo la 'compulsory' tena ijikite hitoria ya tz, sasa mtaandka ukweli? Na mkiandika ukweli mtaaibika maana chaguzi nyingi mmepora ushindi, vinginevyo mtapotosha!
 
Aliyekua mgombea wa Arusha Godbless Lema Jana usiku amesafiri na familia yake kwenda Canada...

==========

Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema, apata nafasi ya hifadhi ya kisiasa nchini Canada.

Lema aliondoka jana nchini Kenya akiwa na familia yake, wakili wake George Luchiri Wajackoyah athibitisha.

Mwezi uliopita Godbless Lema, polisi nchini Kenya walimkamatwa kwa madai ya kuingia nchini humo kinyume na sheria na kumuachia huru baada ya muda mfupi.

Kwa mujibu wa wakili wake, George Wajackoyah, Lema ambaye alikua ameambatana na familia yake alikua akielekea jijini Nairobi kwa ajili ya kutafuta makazi ya muda baada ya kutishiwa maisha.

Chanzo: BBC Swahili
Well played.
Hakuna kuacha familia nyuma
 
Amekimbia madeni yake yaliyosomwa bungeni ya milioni zaidi ya 400??

Lema unazidi kuwachafua zaidi wachaga, dawa ya deni ni kulipa siyo kukimbia na kujifanya mkimbizi feki, sasa umekimbilia kwa wazungu watakupa kazi ya kuosha vibibi na vibabu.
Eti kuwachafua Wachagga. Unaumwa wewe
 
Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema, apata nafasi ya hifadhi ya kisiasa nchini Canada.

Lema aliondoka jana nchini Kenya akiwa na familia yake, wakili wake George Luchiri Wajackoyah athibitisha.

Mwezi uliopita Godbless Lema, polisi nchini Kenya walimkamatwa kwa madai ya kuingia nchini humo kinyume na sheria na kumuachia huru baada ya muda mfupi.

Kwa mujibu wa wakili wake, George Wajackoyah, Lema ambaye alikua ameambatana na familia yake alikua akielekea jijini Nairobi kwa ajili ya kutafuta makazi ya muda baada ya kutishiwa maisha.

Chanzo: BBC Swahili
nchi yetu imeingia wenye record mpya tena ya kuwa na wakimbizi wa kisiasa ukiachilia mbali ile ya kina Kambona Oscar miaka ile ya Mwalimu.
 
Tuliishi nao kama wenzetu lakini hawakuwa wenzetu. Kama kuna wengine nao waende.
 
FB_IMG_1607590563979.jpg
FB_IMG_1607590546034.jpg
FB_IMG_1607590536175.jpg
 
Attachments

  • FB_IMG_1607590554648.jpg
    FB_IMG_1607590554648.jpg
    40.1 KB · Views: 15
Pale mtu anapokuwa namipango ya siku nyingi ya kwenda Kannada nyakati akiwa mbunge, inapotokea mtu kaukosa ubunge, inabidi atumie mbinu mbadala kukata kiu yake

Ni upumbavu kusema Lema, eti ni mkimbizi wa kisiasa!!
 
Back
Top Bottom