Etwege
JF-Expert Member
- Jul 4, 2018
- 8,058
- 20,172
Siyo kamanda tena ??Well played.
Hakuna kuacha familia nyuma
Hivi mtageuzwa kama chapati mpaka lini?
Siyo kamanda tena ??Well played.
Hakuna kuacha familia nyuma
Family.!!❤❤Aliyekua mgombea wa Arusha Godbless Lema Jana usiku amesafiri na familia yake kwenda Canada...
==========
Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema, apata nafasi ya hifadhi ya kisiasa nchini Canada.
Lema aliondoka jana nchini Kenya akiwa na familia yake, wakili wake George Luchiri Wajackoyah athibitisha.
Mwezi uliopita Godbless Lema, polisi nchini Kenya walimkamatwa kwa madai ya kuingia nchini humo kinyume na sheria na kumuachia huru baada ya muda mfupi.
Kwa mujibu wa wakili wake, George Wajackoyah, Lema ambaye alikua ameambatana na familia yake alikua akielekea jijini Nairobi kwa ajili ya kutafuta makazi ya muda baada ya kutishiwa maisha.
Chanzo: BBC Swahili
Kwani Slaa bado yupo Canada sio Sweden?.Kuriport kwa Dr slaa kweli aya maisha ni safari...lema na Dr slaa wanakula Bata Canada sasaivi tu
Huku moyoni unatamani wewe ndie uwe lemaAmekimbia madeni yake yaliyosomwa bungeni ya milioni zaidi ya 400??
Lema unazidi kuwachafua zaidi wachaga, dawa ya deni ni kulipa siyo kukimbia na kujifanya mkimbizi feki, sasa umekimbilia kwa wazungu watakupa kazi ya kuosha vibibi na vibabu.
Hana haja nazo alizipata kwa wizi acha wenyewe wazitumie.Ila Nawaza Biashara Na Mali Zake Alizokua Amezipata na kuwekeza Inakuaje Apo
Ila Nawaza Biashara Na Mali Zake Alizokua Amezipata na kuwekeza Inakuaje Apo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nicheke mieHalafu kuna vijana wajinga wamepata matatizo kibao kwa mahubiri ya "HAKUNA DHAMBI MBAYA KAMA UOGA" kutoka kwa Lema.
Cha ajabu mhubiri mwenyewe kapokea SMS ya vitisho tu kahama bara!
Ifike mahali vijana muache kutumia vichwa vyenu kuteganishia masikio tu
Soma tena historia ya nchi yako kama ni Mtanzania.Mkimbizi wa kwanza Tanzania
Walikuibia?Tabia yao ya wizi na utapeli itaaminika
Si hivyo, jamaa ana akili sana. Kaangalia hana kazi ya kufanya, yaani akae miaka 5 bila kazi na ana watoto 4 pamoja na mke atafanya nini maishani? Akakumbuka kumbe zile fujo za kijinga alizokuwa anazifanya huko nyuma zitamsaidia kuomba uhamisho na kwenda kutunzwa Canada na mabeberu. Bado Zitto maana na yeye kwa sasa sidhani kama kuna wananchi wenye imani naye, soon atakwenda kupakatwa majuu.Usalama wa maisha ni muhimu sana
Home sweet homeAnaonekana hana furaha [emoji3][emoji3]
Kuna beberu linamlipia.Mimi ninachojiuliza huko ataku akifanya Nini kitakacho kua kikimuingizia kipato kwaajili ya mahitaji yake na ya familia yake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Dogo anajifanya Trump, analalamika lakini hana ushahidi eti anahisi tu.Walikuibia?
Mengine yapo humu yanashangilia.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee hawa jamaa wameacha nyumbu njiapanda.
DuuuuHalafu kuna vijana wajinga wamepata matatizo kibao kwa mahubiri ya "HAKUNA DHAMBI MBAYA KAMA UOGA" kutoka kwa Lema.
Cha ajabu mhubiri mwenyewe kapokea SMS ya vitisho tu kahama bara!
Ifike mahali vijana muache kutumia vichwa vyenu kuteganishia masikio tu
Canada inahitaji wageni wengi kwakuwa imepungukiwa nguvukaziAliyekua mgombea wa Arusha Godbless Lema Jana usiku amesafiri na familia yake kwenda Canada...
==========
Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema, apata nafasi ya hifadhi ya kisiasa nchini Canada.
Lema aliondoka jana nchini Kenya akiwa na familia yake, wakili wake George Luchiri Wajackoyah athibitisha.
Mwezi uliopita Godbless Lema, polisi nchini Kenya walimkamatwa kwa madai ya kuingia nchini humo kinyume na sheria na kumuachia huru baada ya muda mfupi.
Kwa mujibu wa wakili wake, George Wajackoyah, Lema ambaye alikua ameambatana na familia yake alikua akielekea jijini Nairobi kwa ajili ya kutafuta makazi ya muda baada ya kutishiwa maisha.
Chanzo: BBC Swahili
Biashara gani wakati za magari ya wizi alishapigwa pink..ashakua Malaya wa kisiasa wacha aendeIla nawaza Biashara na Mali zake alizokua amezipata na kuwekeza Inakuaje hapo
Kumbuka waliopuuza vitisho yaliyowapata, Lissu, Sanane, Mawazo wengine utajaza mwenyewe.Pale mtu anapokuwa namipango ya siku nyingi ya kwenda Kannada nyakati akiwa mbunge, inapotokea mtu kaukosa ubunge, inabidi atumie mbinu mbadala kukata kiu yake
Ni upumbavu kusema Lema, eti ni mkimbizi wa kisiasa!!